Kwahiyo mkuu namba nane jana alicheza nani?Hii ndio formation tumecheza jana , 4-2-3-1 .... Timu kama Newcastle unawaweka matic na Pogba wapaki basi???? Kwanini tusicheze na matic peke yake Pogba awe Juu ????
Hivi unataka kuniambia lingard ana ubora wa kumnyima namba Pogba hapo Juu ???? Jana lingard kama namba nae na muda mwingine 10 akichange na Alexis amepiga pasi ngapi "Murua" za mwisho kwa namba Tisa????
Vyovyote iwavyo Paul Pogba si mkabaji na hatendew haki. Nina Uhakika kama Jana Pogba angecheza Jana kama namba nane au 10 tungekuwa aggressive kwenye mashambulizi refer mechi ya kwanza old Trafford, Alifunga goli 1 na assist 2 nadhani.
Safu ya ushambuliaji hata uwe na ronaldo au messi bila kuwa na namba nane au 10 mzuri hawatafanya lolote. Jana ndicho kilichotokea
Nnachojua ni kwamba matic ni namba sita, pogba ni namba nane... Sasa pogba na matic wanakua sehem moja yaani pogba yuko kushoto mwa matic!!Swali nililokuuliza ndio jibu lako. Jana tumecheza na double number 6 ( matic na Pogba ) ... Lingard alikuwa false number 8.... Alexis Sanzez alikuwa namba 11 ila hakuwa natural namba 11... Muda Mwngi upande wa winga ya kushoto alikuwa anacheza Ashley young kama WING BACK ( beki wa kupanda na kushuka).
Una lingine ????.
Nimekuwekea picha Mzee ya kikosi na formation ya Jana, hebu soma maelezo yangu + hiyo picha ya kikosi cha Jana utajua nani alicheza namba 8.Kwahiyo mkuu namba nane jana alicheza nani?
Sijui kama unaelewa mpira vizuri. Namba nane ukipewa majukumu ya kukaba au kusimama mbele ya mabeki wewe ni holding midfielder . Ndicho anachofanywa Pogba hivi sasa hebu soma hiki alichokisema Murphy baada ya Game ya TottenhamNnachojua ni kwamba matic ni namba sita, pogba ni namba nane... Sasa pogba na matic wanakua sehem moja yaani pogba yuko kushoto mwa matic!!
Pogba ni box to box midfeld na ndio maana mou anapendelea kumpanga kama namba nane maana anajua anaweza kupanda na kushuka, na hii ndio kazi anayofanya pogba pale man u....
Kama timu ikiwa inashambulia utamuona pogba kapanda na matic kabaki nyuma muda mwingi, na kama timu inashambuliwa utaona pobga na matic wote wamerudi nyuma kulinda!
Wengi wanapenda pogba acheze namba kumi ambayo inampunguzia jukumu la kulinda, ili muda mwingi atumie kushambulia na sio kushambulia na kurudi kulinda!!
Huwezi sema timu haina namba nane au timu ina namba sita wawili huo ni uongo mkuu!!
So kuchezesha viungo 2 ndio kupaki bus? Na ukichezeshwa namba 6 hutakiwi kwenda kushambuliaNimekuwekea picha Mzee ya kikosi na formation ya Jana, hebu soma maelezo yangu + hiyo picha ya kikosi cha Jana utajua nani alicheza namba 8.
Kwa kifupi Mourinho ni muharibifu. Niliwahi kuongea humu namna alivyomuharibu Micktaryan, Leo amekuwa Pogba na orodha itaendelea( tunza haya maneno). Na yote haya ni kwa sababu ya poor formation ya mwalimu( defensive formation au kupaki basi au kujihami). Kokote Duniani kuchezesha viungo Wawili wakabaji mbele ya mabeki wannne huko ni kucheza kwa kujihami.
Yaani mechi na Newcastle unamuweka matic na Pogba mbele ya Smalling,Jones, Ashley young na Valencia kama mabeki. Unatengeneza wachezaji sita nyuma ya msitari wa kati. Hii ni aibu. Kibaya zaidi zaidi zaidi zaidi kati ya wachezaji wanne waliobaki kucheza mbele,eti unampa kazi lingard ndio awe kiungo wa kuwaunga. Ni Mara kumi Juan Mata. Unaona alivyoingia mata hali ilikuwaje.
[emoji15]So kuchezesha viungo 2 ndio kupaki bus? Na ukichezeshwa namba 6 hutakiwi kwenda kushambulia
Na game ya jana United wamepaki bus ?
Tatizo ni United ni namba 10 ambayo ilimshinda Mikhi anachezeshwa Lingard naye ni mzigo Pogba ni namba 8 sio namba 10 na kuna game nyingi Pogba amecheza the same formation na akacheza vizuri(angalia first 10 games)
Kocha angemuanzisha Mata namba ya Lingard but sio Pogba hata huko Juve hakucheza namba 10
Sasa jana man walishambulia ? Me cjaona msako ! Timu imekatwa 1 inacheza utafkiri imeshinda[emoji15]
[emoji1]Sasa jana man walishambulia ? Me cjaona msako ! Timu imekatwa 1 inacheza utafkiri imeshinda
Suala sio kucheza pamoja issue ni wote kuchezeshwa kama "Holding Midfielders"
Nadhani utakuwa unanielewa
Una uhakika pogba anacheza kama holding midfielder?? Unaelewa maana ya holding midfielder??
Nnachojua ni kwamba matic ni namba sita, pogba ni namba nane... Sasa pogba na matic wanakua sehem moja yaani pogba yuko kushoto mwa matic!!
Pogba ni box to box midfeld na ndio maana mou anapendelea kumpanga kama namba nane maana anajua anaweza kupanda na kushuka, na hii ndio kazi anayofanya pogba pale man u....
Kama timu ikiwa inashambulia utamuona pogba kapanda na matic kabaki nyuma muda mwingi, na kama timu inashambuliwa utaona pobga na matic wote wamerudi nyuma kulinda!
Wengi wanapenda pogba acheze namba kumi ambayo inampunguzia jukumu la kulinda, ili muda mwingi atumie kushambulia na sio kushambulia na kurudi kulinda!!
Huwezi sema timu haina namba nane au timu ina namba sita wawili huo ni uongo mkuu!!
Mkuu Katika andiko langu nmebainisha wazi..Tuache kumlaumu JM, je misimu minne iliyopita tushawahi kushika nafasi tuliyoishika sasa hivi? Je walio muongezea mkataba unadhani ni wajinga??
Alichukua timu ambayo kwenye uefa haipo ila sasa hivi tupo uefa na msimu ujao tutakuepo!!
Kwa mtazamo wangu hamna kocha anayeifaa man u zaidi ya mou kwa sasa!!
Sure Mkuu PP n mashine ile kipaji kinaootezwa kwa kulazimishwa kutumika kivingine...Pogba ni mzuri akipiga 10 hakika,ila chini yake wawepo watu wa maana ,kumbuka juve kulikuwa na watu mfano pirlo na vidal ila hapo dah mtamlaumu sana........wacha KDB aupige mwingi hivi unajua shughuli inayopigwa na kina FERNANDINHO pale chini?unaachaje kung'aa kwa mfano?
Kwani wewe ni mshabiki wa timu gani mkuu.Nashukuru leo mumekuja na uchambuzi mzuri,safi sana haya maongezi yanavutia.......baada ya kupoteana jana leo mupo hapa tunapata ABC enheee ....
Arsenal huyo hahaha kashindwa hata kujibuKwani wewe ni mshabiki wa timu gani mkuu.
Nlikuwa najiuliza huyu mtu mbona ana hasira kumbe daaaaaaaaa hayazungumzikiyaliyopita si ndwele jamani mimi nimefurahi hiyo habari ya mourinho hapo juu
Nashukuru leo mumekuja na uchambuzi mzuri,safi sana haya maongezi yanavutia.......baada ya kupoteana jana leo mupo hapa tunapata ABC enheee ....