Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona unapovuka mkuu.....mimi sikukatazi itafahamika baadae mshamba nani kati ya mm au ww ila current issue ni

Manure 0 Magpies 1

Ukizingua natuma tena

Naona mimba itaachia sasa baada ya kushikiliwa na manchester united unafuraha balaa mana uliambiwa utafanyiwa upasuaji ila kama newcstle wakishinda utajifungua salama

jamani njooni tumpongeze mwenzetu kanusulika kisu cha tumbo toka saa moja tunae humu

tuma kwani nakununuliwa mm bando weeee vipi
 
Munaitwa muje kuchambua yale maufundi ya mid kisheti popobawa na yule video vixen sanchi ooooohps sorry sanch.......ez
 
Povu ruksa........hili la foma gold
 
Mkuu mbona game ya leo hujachambua au hamchambui mpaka mshinde?
 
Matokeo yalleo niliyategemea nilibase zaidi kwenye history ,Morinyo hajawahi mfunga Banitezi
 
Twende wapi wewe sikumbuki kama hatujawah kufungwa hilo ni jambo la kawaida labda nyie mnaona sio kawaida ndo mana unahangaika hapa
Tulia mkuu dawa iingie......


Ila usijali bro huu ni utani wa kisoka tu nikutakie usiku mwema pumzika usije pata maruweruwe bure usiku...mana naona newcastle bado wapo akilini
 
Tulia mkuu dawa iingie......


Ila usijali bro huu ni utani wa kisoka tu nikutakie usiku mwema pumzika usije pata maruweruwe bure usiku...mana naona newcastle bado wapo akilini

mwenyewe najua utani napoteza muda hapa

dawa huingia kwa mtu ambae hana kitu ila kwa mm shabik wa li timu giant epl hata sifikirii post zenu mana ni wadogo napaswa kuwalinda watoto
 
Kusema ukweli JM sijui anang'ang'ania nini na smalling + young * martial. Martial bado hajakua anazingua sana, kwanini young aanze wakati Shaw anapiga mpira mzuri sana na ndo natural left back?. Pacha ya smalling na jones haina nguvu kabisa smalling anakaba kama anacheza chandimu lakini JM ndo utamwambia nini akuelewe.

Mfumo wa JM mbovu sana, Lukaku anahangaika mipira haifiki ipasavyo, alafu kuna raia wanamlaumu striker kama Lukaku kweli? .Ninachoona JM anaonesha kiburi tu anajua kama fans wote wanataka Pogba acheze as free prayer tuone ukali wake ila yeye sasa anavyodefend maana ya box to box anajua mwenyewe, akiendelea hivi kiwango cha Pogba kitashuka sana yani anamlazimisha kufanya majukumu yanayomzidi kimo mfano angalia tukicheza na watabe au viungo mahiri. Leo Shev anakamata kiungo kama vile yupo mazoezi vile.

JM ana stress sana hata maamuzi yake ya ghafla ghafla anaweza akakaza kufanya sub tukipigwa goli anaita mchezaji wowote yule lazima joto la jiwe tulisome kama asipobadilika.

Tunasapoti timu katika kila khali lakini ukweli usemwe kuna watu wanatuangusha either direct or indirect:
1. JM
2. JM
3. JM
4. Smalling
5. Young
6 Martial kazidi utoto
Weka mata tucheze mpira Lingard anaruka ruka tu uwanjani kuna game anapotezwa kabisa.SIKU MBAYA SANA LEO, ANGALAU MNYAMA KAUNGURUMA TAIFA.

GGMU
 
Mkuu fuatilia comments zangu humu kuhusu Mourinho na watu walivyokuwa wananitukana.


Watu hawataki ukweli Mourinho hafai.



Hongera kwa kuliona hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…