Mkuu timu hii imekosa mtu mmoja muhimu sana, Mchezeshaji. Wakati ule tulikuwa na Rooney sasa hatuna angalao tunae Mata, angekuwepo ungeona tofauti kubwa. Huwa namfananisha sana na David Silva wa Man City.Utoto mwingi hii team tusitegemee chochote kile kwa wachezaji hawa
Mkuu timu hii imekosa mtu mmoja muhimu sana, Mchezeshaji. Wakati ule tulikuwa na Rooney sasa hatuna angalao tunae Mata, angekuwepo ungeona tofauti kubwa. Huwa namfananisha sana na David Silva wa Man City.
Namba saba imekufa kabisa...Martial arolewe aingie Mata faster.Mimi namkubali MATA kuliko POGBA kwa sasa, maana ana uwezo wa kuchezesha timu hasa kwa hii combination ya Sanchez ndio penyewe
Afadhali naona Mata anajiandaa kule...Pigaaa New 1Inabd aingie radhford atoke martial
Kama ni malipo ya sanchez bas hajui maana ya mkataba.Kuna kitu kinamsumbua Pogba sio bure.
Nimeona mkuuHuwezi kushambulia tu kama headless chicken, hicho unachokitaka dakika 60 ikiwa bado bila bila utakiona,though nakubali timu haijatoa perfomance ya maana.