Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Huyu jamaa huwa ananifurahisha sana, ni moja ya watu wanaoendeshwa kwa matukio na mihemko mno. Huwa napitia posts zake kuna kipindi alikua kwenye kila post ana mdisi Klopp hadi wakawa wanatofautiana na malafyale, alipokuja Mosdef kaweka hisia zake juu ya Klopp na FSG jamaa alifanya turnaround moja ya hatari kama si yeye aliekua anamtukana Klopp.
Kelvin msimu huu ndio unaweza ukawa ndio the best season kwake ever, kama ilivo kwa salah, kama ilivokua kwa mane last season (kuna viumbe walifikia kumfananisha na hazard), kama ilivokua kwa mahrez msimu ule wanachukua ubingwa, kuna dogo anaitwa Asensio msimu uliopita kila akigusa mpira kama sio kufunga basi ana assist, mashabiki wa madrid waka m-hype to the maximum.
Pogba kipaji chake kilishaonekana tangu mdogo anashinda Golden boy, FIFA U-17 world cup Golden boy na amekua akichukua tuzo since then wakati the best moments kwa kelvin ni kua top assist provider na kuwa kwenye pro XI 3rd team.
Ahsante kwa data zako, naomba tuwekee na individual honors za kelvin then nitakuwekea za pogba.
Am waiting
Au wew ndo umemuona msimu huu? Unajuw alinuliw bei gani?Ni fundi kwa msimu huu, tatizo watu ni wepesi wa kusahau sana na kuishi kwa matukio.
Umekosea mkuu. Wapo sema siyo wengi. Hatawa Aston Villa wapo mkuuHakuna shabiki wa man city kwa hapa bongo wote mamluki tu, rudi kwenye timu yako ya mwanzo then tuongee
Hahaaaa mkuu sitaki kujua alinunuliwa kwa bei gani ila ninachojua bei yake haifikii ya pogba.Au wew ndo umemuona msimu huu? Unajuw alinuliw bei gani?
Nyinyi mnaishi maisha ya kukalili ndo tatizo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hao waache tu mkuu wana stress za timu zao.
Ni kweli haifikii ya Pogba. Lakini saiv ukiwaweka sokoni uonavyo, nani anaweza kuw nabei kubwa?Hahaaaa mkuu sitaki kujua alinunuliwa kwa bei gani ila ninachojua bei yake haifikii ya pogba.
Sometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modricMimi Ninazungumzia Stats (Reality Show)! Sizungumzii Honors za Kupigiwa Kura.
Hizo Kura zenu ndiyo Zinazomfanya [HASHTAG]#Buffon[/HASHTAG] akawa Kipa Bora na De Gea asiwe Bora Wakati Stats Zinaonesha Wazi Kuwa De Gea ndiye Kipa Bora Kwa Sasa Duniani.
Looserfool paid £35 mill for Andy carrolAu wew ndo umemuona msimu huu? Unajuw alinuliw bei gani?
Mkuu sijakusoma kiukweli. Una mana gani?Looserfool paid £35 mill for Andy carrol
Mkuu tuache unazi jamani KDB ni hatari, tuwe wawaziHuyu jamaa huwa ananifurahisha sana, ni moja ya watu wanaoendeshwa kwa matukio na mihemko mno. Huwa napitia posts zake kuna kipindi alikua kwenye kila post ana mdisi Klopp hadi wakawa wanatofautiana na malafyale, alipokuja Mosdef kaweka hisia zake juu ya Klopp na FSG jamaa alifanya turnaround moja ya hatari kama si yeye aliekua anamtukana Klopp.
Kelvin msimu huu ndio unaweza ukawa ndio the best season kwake ever, kama ilivo kwa salah, kama ilivokua kwa mane last season (kuna viumbe walifikia kumfananisha na hazard), kama ilivokua kwa mahrez msimu ule wanachukua ubingwa, kuna dogo anaitwa Asensio msimu uliopita kila akigusa mpira kama sio kufunga basi ana assist, mashabiki wa madrid waka m-hype to the maximum.
Pogba kipaji chake kilishaonekana tangu mdogo anashinda Golden boy, FIFA U-17 world cup Golden boy na amekua akichukua tuzo since then wakati the best moments kwa kelvin ni kua top assist provider na kuwa kwenye pro XI 3rd team.
We jamaa ni karatasi kichwaniSometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modric
Hivi unajua Ibe ana assist nyingi kuliko mane?
Ndo mana nimekaa kimyaSometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modric
Hivi unajua Ibe ana assist nyingi kuliko mane?
Pumba ni kawaida yake nakumbuka alisema Coutinho hawezi kuuzwa eti mkataba wake hauna release clause na juzi kasema eti ratiba ya robo na nusu fainali ya Champions League imeshapangwaSometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modric
Hivi unajua Ibe ana assist nyingi kuliko mane?
Hahaha jamaa nlikuwa namuona kama mtu wa mpira kumbe ni walewale tu wenye hasira.Pumba ni Jesus's yake nakumbuka alisema Coutinho hawezi kuuzwa eti mkataba wake hauna release clause na juzi kasema eti ratiba ya robo na nusu fainali ya Champions League imeshapangwa
Hapa nani alikuwa anapost hizi pumba again nenda facebook ndio utawadanganyaYaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!
View attachment 427153
In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo
View attachment 427156
Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!
View attachment 427157
What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan
Naona taratiiiiiiiiiiibu unaanza kuona tatizo la kochaNdo mana nimekaa kimya
Nakumbuka arsenal walipomnunua Xhaka walikimbilia kumlinganisha pogba kwa sasa kimya hata hao liverpool aliwekwa jordan henderson na allen wa stoke city kwamba ni bora kwa pogba wako wapi?
Jaman pogba ni kocha tu akitafuta kiungo wa kumfanya awe huru hizi kelele zitasepa
Wanaoujua mpira nafikir walimuona akiwa juve kaingia kwenye kikos bora cha fifa mara mbili mfululizo akiwa na miaka 23 tu tena wachezaj 11 sisi wa tanzania bado sana tunaongozwa na chuki sio uhalisia wa jambo suala la muda tu
Jamaa kahamia kwa kdb baada ya viungo wa liverpool kusepa
Kwa sasa KDB anafanya vizur sana.
Nashukur kwa kuweka takwimu za kila mchezaj alielipuka msimu mmoja mmoja