Ana akili sana Mou, kamwe hawezi kusema akae karibu na Martial, anajua kuna mwanga mkubwa ndani ya Rashford. Safi sana.Meneje wa Manchester United, Jose Mourinho ameamuru kabati la kuhifadhia vifaa na jezi la mchezaji wake mpya, Alexis Shanchez lihamishwe kutoka lilipokuwa awali na kuwekwa karibu na kinda wa timu hiyo mwenye umri wa miaka 19, Marcus Rashford katika chumba cha kubadilishia nguo ndani ya United.
Kwa mujibu wa mtandao wa The Sun umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Mourinho ni katika kuhakikisha Sanchez anakuwa karibu na Rashford ili kumpatia uzoefu ndani na nje ya uwanja.
Habari kutoka ndani ya Old Trafford zinasema ni kawaida kwa meneja huyo kuwachanganya wachezaji wenye umri tofauti ili kubadilishana uzoefu hivyo Sanchez ataweza kumuweka Rashford katika hatua nyingine kisoka soka.
Manchester United:
1 David de Gea
4 Phil Jones
12 Chris Smalling
18 Ashley Young
25 Antonio Valencia
6 Paul Pogba
14 Jesse Lingard
31 Nemanja Matic
9 Romelu Lukaku
11 Anthony Martial
7 Alexis Sánchez
Ulishaona wapi watoto wanafundishana?.mbona unakuwa kama mtu usiyejielewa wewe,na martial uliyemsema kuwa anakaa benchi,leo anaanzaAna akili sana Mou, kamwe hawezi kusema akae karibu na Martial, anajua kuna mwanga mkubwa ndani ya Rashford. Safi sana.
Ila tujue kuwa attacking force ikiwa kubwa,unaneutralize kila kitu.ngoja tuone kama kikosi kitawork out au laWasiwasi wangu ni kwa Young tukipigwa counter attack...huwa anasindikiza hadi kwy box.
Najua Lingard atatolewa aingie Felain, I wish maajabu yatokee, martial apigwe bench Lingard abaki.
Naamini kwy kupaki basi ila na michomoko iwepo (Lingard ni mzuri kwy hilo kuliko martial)Ila tujue kuwa attacking force ikiwa kubwa,unaneutralize kila kitu.ngoja tuone kama kikosi kitawork out au la
Kwa upande wa kushoto huwa napenda kumuona shaw anyway ngoja tuone plan za kochaWasiwasi wangu ni kwa Young tukipigwa counter attack...huwa anasindikiza hadi kwy box.
Najua Lingard atatolewa aingie Felain, I wish maajabu yatokee, martial apigwe bench Lingard abaki.
Kuna jamaa leo nimegundua ni ana chuki zake binafsi tu na martial majuzi nilidhani ni shabiki tu anatoa maoni yake ila dah too much.