Wewe unapigwa na Bristol city utamuweza barca?
Jibu swali!Umeelewa nilichoandika?
Umejibu au umeanzisha mada nyingine?
Mwaka gani barca kashinda OT? Kwani una umri gani mkuu?Lakini mimi ni bora kuliko wewe kwa sasa ndiyo maana nimekupasua OT
Mkuu achana nae huyo wanachafua uzi.Mwaka gani barca kashinda OT? Kwani una umri gani mkuu?
Pole kwa frastruesheni, kila la her na banned yako hatuitaji wagonjwa wa akili humu jfWewe unapigwa na Bristol city utamuweza barca?
Tuangalie huu uwezekano maana kuna watu wengine hovyo kabisa,... Ila pia ujingaujinga huo ndiyo raha ya mpira ila siyo kama Nyoso anavyofanya.Hivi hatuwezi kuunda petition msumbufu fulani akapigwa ban ya maisha kuingia kwenye hii thread? Haiwezekani mtu wiki nzima anashinda humu kutukana kila anaepingana nae!
Moderator tunaomba amani kwenye hili jukwaa.
Hili la msing sana watu washindane kwa hoja na ushabiki wa kistaarabu kama ndugu yangu Mentor na chelsea yake ila sio mtu anakuja humu anatukana hakuna uchambuz unaofanyika zaid ya matusi tu.Hivi hatuwezi kuunda petition msumbufu fulani akapigwa ban ya maisha kuingia kwenye hii thread? Haiwezekani mtu wiki nzima anashinda humu kutukana kila anaepingana nae!
Moderator tunaomba amani kwenye hili jukwaa.
Ujingaujinga tumeuzoea hata mimi kuna majukwaa naenda kuleta ujingaujinga sana tu, ila wengine wanavuka mipaka, wiki nzima mtu anatukana watu tu hio ni sawa kweli? Mimi nilikuwa namsoma napita kimya tu.Tuangalie huu uwezekano maana kuna watu wengine hovyo kabisa,... Ila pia ujingaujinga huo ndiyo raha ya mpira ila siyo kama Nyoso anavyofanya.
Arsenal Wenger ni Mkarimu saana especialy linapokuja Manchester unitedUpendo huu wa ajabu sana tuliwapa welbeck wakatupa van perse sasa tumewapa mikky nao. ...
Swadakta maneno yako wacha tusubiriArsenal Wenger ni Mkarimu saana especialy linapokuja Manchester united
Alitupa RVP tukachukua EPL na akawa Top Scores
Ametuma Alexis sjajua nin kitatokea mwisho wa Msimu
LONG LIVE BABU WENGER MUNGU AKUPE UMRI MREFU HAPO ARSENAL HUWEZ JUA UTAFANYA NN KWA OZIL AKIMALIZA MKATABA ILA I HOPE FOR THE BEST