Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Hushaona wp Chelsea akamfunga arsenal???
Na kwako pia mkuu ! Mwaka wa la lingard huu acha atukomeshe na vigoli vyake vya kizushiHeri ya mwaka mpya wakuu, mods walinifungia kwa takribani week mbili.
Sir Alex Ferguson three years ago:
"Jesse Lingard is going to be some player,”
“He will become a player when he’s 22 or so. As an attacking midfielder he has got a really good talent. I think he will be a player we have high hopes for, definitely.”
Kwa hiyo sis tufanyaje sasaEven simon happygod msuva he is better than her
Rashford hajawahi kuwa kwenye kiwango cha juu kama alichonacho jesse kwa sasa hivi..pia consistency yake mbona iko poa tu tokea gemu ya watford anacheza vizuri sana..Jesse Lingard Kwa Sasa Namkubali Ni Good Young Talented!
Lakini swali La Kujiuliza Ni Je, Ataweza Kuendeleza Consistency??
Asije Akavimba Bichwa kama Rashford??
Rashford alianza Vizuri tu, lakini alipoona anamwagiwa Misifa Kwenye kurasa zake za Twitter na Instagram Basi akaona Bora acheze na Mitandao Kuliko Kipaji Chake...
Sasahivi Kawa Kama Wabrazili.. (Adriano, Ronaldinho, Pato, De Lima etc)
MkaoleweKwa hiyo sis tufanyaje sasa
Unawashwa wewe ndo maana unafata wanaume kwenye jukwaa laoMkaolewe
DuuhHeri ya mwaka mpya wakuu, mods walinifungia kwa takribani week mbili.
Man united kuna mashabiki wa kiume?Unawashwa wewe ndo maana unafata wanaume kwenye jukwaa lao
Upo kwa akina ma'alliens' babakeJamani Mimi @King_Ngwaba Niambieni Ninaishi Sayari Gani???
Manake Katika Sayari ya Earth (Dunia) Sitegemei Kama Naweza Sikia Vituko Kama Hivi!!!
ههههههههههههههه
Duuh kweli sikukuona mkuu kwani nn ilikuwa tatzoHeri ya mwaka mpya wakuu, mods walinifungia kwa takribani week mbili.
Duuh kweli sikukuona mkuu kwani nn ilikuwa tatzo
Hahaaa ulitukana nn mkuuMishemishe za jukwaa la siasa.
Hahaaa ulitukana nn mkuu
Scholes is an idiot.Hapa Labda Scholes na Mourinho Wanataka Kujiundia Kitu gani?
Watu kama hawa haupotez nao mudaJamani Mimi @King_Ngwaba Niambieni Ninaishi Sayari Gani???
Manake Katika Sayari ya Earth (Dunia) Sitegemei Kama Naweza Sikia Vituko Kama Hivi!!!
ههههههههههههههه