Mpira bila unafik hauend na usitupangie nn cha kufanya nendeni mkapangiene majukum ya kufanya kwa wachezaj wenu kwenye jukwaa lanu sio hapaAcheni unafiki kama wa bata
Lanu ni neno la lugha gan?Mpira bila unafik hauend na usitupangie nn cha kufanya nendeni mkapangiene majukum ya kufanya kwa wachezaj wenu kwenye jukwaa lanu sio hapa
Ukivulunda za uso ukifanya vizur[emoji112] [emoji112] [emoji112]
Bakleeee imehamia kwenye silabi tengeneza tena ka topic kwisha habar yakoLanu ni neno la lugha gan?
Your sufferingBakleeee imehamia kwenye silabi tengeneza tena ka topic kwisha habar yako
Even simon happygod msuva he is better than herView attachment 666247
Wanyooshe hao wenye wivu dogo chogo
Even simon happygod msuva he is better than her
Lazima mpate japo kaushindi kamoko,next week ni mwendo ule ule wa matekaWamepiga kweli kama ulivyowaagiza.
Siiwaziagi hii timuLakin yeye anaiwaza manchester united muda wote kwamba matokeo yake anayajua.
Siiwaziagi hii timuLakin yeye anaiwaza manchester united muda wote kwamba matokeo yake anayajua.
Hata arsenal si anashinda mfululizo?Lazima mpate japo kaushindi kamoko,next week ni mwendo ule ule wa mateka
Ila matokeo yake unayajuaSiiwaziagi hii timu
Nayakutaga tu nikifungua livescore.....,mdraw,mshinde,mkanyagwe cna mda nayoIla matokeo yake unayajua
Ila nyie mnadraw mfululizoHata arsenal si anashinda mfululizo?
View attachment 666251
Arsenal anatufikia tukidraw mfululizo chelsea siku si nying anakupigisha kwata kwakoIla nyie mnadraw mfululizo
Sasa si ndo kufuatilia hukoNayakutaga tu nikifungua livescore.....,mdraw,mshinde,mkanyagwe cna mda nayo
Hushaona wp Chelsea akamfunga arsenal???Arsenal anatufikia tukidraw mfululizo chelsea siku si nying anakupigisha kwata kwako
Hajawahi upo sahihiHushaona wp Chelsea akamfunga arsenal???
Cwezi fuatilia matokeo yenu hayanisaidii labda kuja kupondaSasa si ndo kufuatilia huko