Ni kwamba unataka kila mtu/shabiki afikiri ufikirivyo wewe?Mashabiki wengi wa Mau kwenye hili jukwaa ni wamejaa uswahili, h
timu ikifanya vizuri wanampongeza kocha na wachezaji, ila ikidraw basi lawana tele. Kuna watu wanakosoa mbinu za mwalimu wakati wenyewe wakipewa hata chekechea hawawezi kufundisha. Tuwe na ushabiki na pia tuweze kukubaliana na yale timu inafanya, huku kuna watu wanaongea mbovu utadhani hata wana hisa kwenye club
Sawa na yako tu mech mbili au tatu gerejiWewe unayo.?
Ancelot big no labda AllegriHii team inahitaji kocha aina ya Fabio Capello au Ancelot
£90m overrated flop Paul Pogba in the PL:
Games - 12
Assists - 7
World Class best midfield player in the world Kevin de Bruyne in the PL:
Games - 21
Assists - 9
[HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]
Me ckumkabali anaweza ila co wakuwa first eleven ni wa sub basiiiiNaona uelekeo wake mzur saiv ana goli 7 next season ataiva vizur
Kwa lugha rahisi ni kuwa kuna watu wanakosoa vitu kuhusu hiyo timu bila kuwa na legitimacy, either ya ufahamu au umiliki. Shabiki ni vizuri ukajua limits zako.Ni kwamba unataka kila mtu/shabiki afikiri ufikirivyo wewe?
Kuweza kufundisha chekechea na kuwa na hisa katika club kuna uhusiano gani na ukosoaji wa mbinu za Mou?
Kila shabiki anayo uhuru wa kukosoa na kufurahia timu jinsi atakavyoona inafaa kwasababu aliamua kuipenda timu mwenyewe,sio wewe wala mimi tuliomshawishi aipende timu!

Hehee.. Mi nina afadhali asee. Nikienda gereji ni sevirce ya uhakika. Nikitoka nimetoka kweli. Ila we unaweza kwenda ukalala siku mbili huko wakati huo mi napiga kazi hukuSawa na yako tu mech mbili au tatu gereji
Haya basi sawa.Hehee.. Mi nina afadhali asee. Nikienda gereji ni sevirce ya uhakika. Nikitoka nimetoka kweli. Ila we unaweza kwenda ukalala siku mbili huko wakati huo mi napiga kazi huku
Unataka kushinda wp?.......,mufc chukueni kiti kbs mstarehe mpige kAhawaHongereni majirani. Naona mmetushikia nafasi kwa muda
Kuna mtu gunners haimtoki kinywani....,yaani raha yake aiongelee2...….,cjui tatizo nn!!!Unajua hii timu ina maadui wengi yule mshambuliaji wa arsenal anaenda mech ya 6 bila goli watu wapo kimya ila lukaku ukawa wote wanamtolea macho
Kivip mkuu
Hahahaha haya mambo hayajaanza Leo mkuuNilisema Hivyo Kwasababu Kuna Mashabiki Wanashindwa Kusimamia Hoja Zao! Leo Kabla Ya Game Mpaka Half Ya Kwanza inamalizika Nilikuwa Nasoma Comments tu Hapa Bila ya Kureply Chochote hatimae Nikagundua Kuwa Comments za Kipindi Cha Kwanza Ni Tofauti Na Za Kipindi Cha Pili.
Daaah jamaaa hakuwa na ata agent daah.... My best English no 8 all time
Bila kuathiri furaha yenu, naomba nikubaliane na sentensi yako. Huyo dogo defence imemshinda.Lindelof anastrugle sana akicheza fullback