Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,813
- 22,012
Hao wachezaji uliowataja wamecheza mechi ngapi msimu huu???Timu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu...
Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na ni mchezaji tegemeo..what if angeuzwa msimu uliopita...mfumo na the way kocha unavyowatreat wachezaji ndivo inawafanya wawe bora
Nimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..
Hivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?
Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne
Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..
Halafu Joel na de gea kama wanataka kufanana hivi..
Hukunishauri ninavowaweka huna mamlaka ya kuniambia niwatoe.Mtoe Ashley young na Rashford kwenye hiyo list
Kama una uwezo wa kuingia jf nina imani una akili ya kukutosha kabisa hata kuingia mitandao mingine usiishie kusikiliza story za whatsaap!Alinyimwa hela ya kusajiri?? Alikatazwa kusajiri?? Muda mwingine muwe mnatumia akili
huyo msaidizi wa JoseRui Faria
Ndio maana nasema huyu Mikh anaonekana mzigo akitoka akaenda kwa pep tutashangaa!Salah anatakata tu huko..alikua flop kipindi yupo chini ya mourinho chelsea..
Huyu jamaa ni mchumbuzi sio yule jamaa wa liver mahaba kibaoScott patterson kamjibu yule mjinga mjinga caragher, msiwe wavivu wa kusoma pitieni hii link itawasaidia japo kidogo.
Why Carragher got his Guardiola versus Mourinho analysis wrong
Huyu jamaa ni mchumbuzi sio yule jamaa wa liver mahaba kibaoScott patterson kamjibu yule mjinga mjinga caragher, msiwe wavivu wa kusoma pitieni hii link itawasaidia japo kidogo.
Why Carragher got his Guardiola versus Mourinho analysis wrong