Apana mkuu...leo kiukwel tmecheza ovyo...lakn pamoja na hayo, Stoke wame defend vyema sana..
Mipira mingi tumecheza ya juu ambayo jamaa ni wazur sana...
Bila kusahau jamaa mpira wao wa kihuni hawajaacha tu.
Ndo soka hilo lakini...we the results down to our chins and move foward.
Alamsiki.