Kama bodi wanamawazo kama yako, basi msitegemee jipya kwenye timu yetu.
Umemuona kipara alivopangua pangua kikosi chake?
Nilitaka nikujibu kuhusu young, ila nilipoona unamlinganisha Herrera na Toure, nikajua haupo serious.
Kipara alimleta Bravo kamuondoa, alimleta Nolito kamuondoa na kama ishu ni kuwa treat wachezaji kulikua na haja gani ya kuwaondoa akina zabaleta na wenzie, angewatumia hao hao kumbuka kikosi alichokikuta kipara pale city kilikua bora kuliko hata alichokikuta mourinho utdTimu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu...
Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na ni mchezaji tegemeo..what if angeuzwa msimu uliopita...mfumo na the way kocha unavyowatreat wachezaji ndivo inawafanya wawe bora
Mane huyu wa msimu huu ni bora kuliko forward wetu yyte yuleNimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..
Tofauti ni kwamba jones anaanza wakati kompany anaanzia benchiHivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?
Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne
Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..
Timu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu...
Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na ni mchezaji tegemeo..what if angeuzwa msimu uliopita...mfumo na the way kocha unavyowatreat wachezaji ndivo inawafanya wawe bora
Nimeona umesema kuwa liverpool wana mtu kama mane..hivi mane yupo kwenye peak kama ya msimu uliopita?..si vibaya kabisa kusema ameflop msimu huu..
Hivi john stones anamzidi uwezo baily?..kompany anachomzidi jones ni nn?
Una pogba ambaye anatakiwa awe anafanya anachokifanya De bruyne
Una matic,lukaku,mata,valencia,martial,lingard,baily,jones,young,de gea(kipa bora kabisa),...kwa hakika timu hii angepewa pep ingekuwa bora kabisa..
Morinyo alikuja na speed kubwa 2004 akabeba ndoo Mara 2 mfulululizoila mimi naamini hii ni one season wonder, hawezi kuchukua back to back epl titles
Mbona unatabiri vizuri ivyo wewe ni mke wa sheik nan?Morinyo alikuja na speed kubwa 2004 akabeba ndoo Mara 2 mfulululizo
Msimu wa 3 babu Saf akamuonyesha kazi mpaka akapoteza kibarua
Kuhusu man city Mimi naona ni moto wa mabua mwaka huu kombe lao ila mwakani sizani kama atabeba ndoo
Karibu sana mkuuMourinho alete £80M aondoke na Monreal azibe LB yake....
Mkuu umewaza kama MimiMatumaini ya ubingwa kwa sasa ni madogo mno kwa kuwa yanategemea makosa ya Man City "noise neighbours".
Tunahitaji kujiimarisha tuendelee kupambana kwa ubingwa(kama jamaa watateleza) au tutafute CL spot mwakani.
Pia,tukomae CL kwa sasa kwa kuwa lolote linaweza kutokea kule.
[HASHTAG]#manutd[/HASHTAG] 4ever#
Mtoe Ashley young na Rashford kwenye hiyo listNa wewe umekubaliana nae? Basi akili zako na zake hazina tofauti.
Man city hakuna jones wala smalling kuna otamendi na stones
. Niambie hii mizigo itapata namba timu gani pale EPL Darmian, Blind, Zlatan, Rashbeck, smalling, young, Fellain, Herrera
Alinyimwa hela ya kusajiri?? Alikatazwa kusajiri?? Muda mwingine muwe mnatumia akiliMourinho kafanya kazi kubwa sana Manchester hadi hapa alipofika, huwezi ukawa na wachezaji kama lingard, Rashbeck, young, smalling, Jones, Zlatan, Herrera alafu ukawa nafasi ya pili kwenye msimamo ukazipita timu zenye akina Sanchez, Ozil, mane, salah, countinho au Hazard.
Huna fullback kwenye kikosi, huna winger kwenye kikosi, CB unaowategemea ni akina smalling lakini unajikongoja kwenye nafasi ya pili nyuma ya kocha aliebadili karibu robo tatu ya kikosi chake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anajua sana huyu