Ngumu sana arsenal kufika pale ni sawa na maji kupanda mlima labda mashabiki wote wa arsenal duniani mumlilie Mungu mfunge mwez bil kulaSío lazima tukwambie tunatakA position yako ni kujiongeza tu
Tushakupigia Alarm utajiadd
Matokeo yako ya sasa tunayajua,we are just waiting, time will tell
Utakuwa umekosea njia mkuu
Wakuu kwema humu
Mkuu hiyo ni salamu tu, usifanye vitaUtakuwa umekosea njia mkuu
Sawa let it be miracleNgumu sana arsenal kufika pale ni sawa na maji kupanda mlima labda mashabiki wote wa arsenal duniani mumlilie Mungu mfunge mwez bil kula
Arsenal mwenyewe ana matokeo gan unashinda na crystal palace unadunguliwa mech ijayo au suluh
Kwamba mtachukua ubingwa?Sawa let it be miracle
C tupo tuombe tu uzima
Msikimbiane mwisho wa msimu humu
NAn kAsema ubingwa mbona unAingiA chaka ndugu??????Kwamba mtachukua ubingwa?
Shukrani kwa news aiseeTetesi
Juventus imekataa ombi la klabu ya Manchester United la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Paul Dibala kwa dau la £70m
United imesema kuwa iko tayari kumuachilia kiungo wa kati wa Armenia Henrikh Mkhitaryan, 28, katika mpango huo.(Sun)
man utd katika hili tutakuwa tumepata lossTetesi
Juventus imekataa ombi la klabu ya Manchester United la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Paul Dibala kwa dau la £70m
United imesema kuwa iko tayari kumuachilia kiungo wa kati wa Armenia Henrikh Mkhitaryan, 28, katika mpango huo.(Sun)
Hamna ila sema hela nyingiman utd katika hili tutakuwa tumepata loss
Una maanisha micky ni mkali kuliko dyabala?man utd katika hili tutakuwa tumepata loss
Monreal!!!!!!!! SijakuelewaMourinho alete £80M aondoke na Monreal azibe LB yake....
Kosa la Mourinho nini? Na akiwa fired nani achukue nafasi yake?mourinho should be fired kwa kweli,haiwezekani ukawa una mata,mikhitaryan,pogba,herera,na martial aafu bado si tu timu inakuwa inacheza mchezo a kudefense zaidi bali pia timu napata matokeo yasiyoridhisha, man utd should either play with 4-4-2 au 4-3-3, tushambulie zaidi na kukaa na mpira muda mwingi, we should play in man utd way.