Umeshindwa kupambana na arsenal yako, ila unakuja kutushauri sisi tupambane na hali zetu?Pole ka unaangaliA position
UnajuA pamoja na upili wako unaniacha pointi ngapi?
Gemu mbili tu nakukamata
Man u kuweni tayari kwa lolote
Kisha pambaneni na hali zenu
Tuna Lingard, Hazard wa nini?Tetesi
MAN UNITED YACHUANA NA REAL KUMPATA HAZARD
Manchester United wamejipanga kupigana vikumbo na Real Madrid kwa ajiliya saini ya Eden Hazard, kwa mujibu wa Sun .
Hazard na bosi wa United wamefanya kazi pamoja wakiwa Chelsea, na kufanikiwa kunyanyua taji la Ligi Kuu msimu wa 2014-15.
Na gazeti hilo limedai kuwa United watatoa dau la paundi milioni 90 kwa ajili ya mchezaji huyo msimu ujao.
Sasa man u bado mnAwaza ubingwa ????? Asee nyie ni mafundiArsenal hawanaga akili za kupambania ubingwa unapambana na mtu ambae haongoz ligi wenger kiboko kawabadilisha mentality ya ubingwa had mnapigania nafas ya 4 na ya 2
Sasa man u bado mnAwaza ubingwa ????? Asee nyie ni mafundi
Mm nataka ww urudi nafasini kwako nikucheke vzr
Halafu wote sahivi tunafight for top 4
NakuhAkikishia hunyAnyui kwapa this season
Rubaman ni moja ya ma legend wa humu jf hasa majukwaa ya sports, namheshimu sana jamaa huyu, achana na hawa wazibua vyoo wanaotuletea shombo humuHuyu rubaman Arsenal's Fanboy alihamia Sana Hapa Last Season lakini sijui Kapotelea wapi??
Same to Hawa Walihamia Siku Hizi Na Comments Za Kiajabuajabu Nao Pia watapotea.
SasA kati ya gunners na ninyi nan ana matokeo mabovu kAribuniTimu yeke inemfanya vibaya saiv hana pumz tena
Dunia haiishi vituko.SasA kati ya gunners na ninyi nan ana matokeo mabovu kAribuni
Hamjafukuza kocha wenger anavunja rekod ya sir alex akiwa nafas ya sita je mkifukuza si mtakuwa kwa wakina swansea kule.SasA kati ya gunners na ninyi nan ana matokeo mabovu kAribuni
Asee Mr cjui hujaelewa nn yan!!!!!!Arsenal ana batlle na man united what for ? Hapo ndo kwenye swali sio city tena ajabu sana hii chelsea wanaumiza akili na city lakin wenger na watoto wake wanaiwaza united hapo ndo utajua arsenal kwisha kabisa sisi hatuamini ktk kushindwa had dakika ya mwisho
Hiyo karabao timu zizotoanaga ni zile za top 3 au 4 zilizokuwepo? Spurs na liverpool walitolewa na timu gan ktk hilo kombe? Timu zote za epl zilikuwepo ktk carabao zimetolewa na timu zipi?Asee Mr cjui hujaelewa nn yan!!!!!!
Ila cwalaumu ni kawaida yenu
Namaanisha timu zote sahivi tunafight for second position hadi fourth position
Ww kwa mwendo wako wa kujikongoja ndo unataka EPL????
Uliyetupwa na kitimu cha mchAngani carabao????
UliyeponeA chupuchupu kwa Burnley kwako unataka EPL!!!!!! Kweli?????????????????????????
You have to change
You have to talk reality cio kushabikia ujinga
Sío lazima tukwambie tunatakA position yako ni kujiongeza tuHiyo karabao timu zizotoanaga ni zile za top 3 au 4 zilizokuwepo? Spurs na liverpool walitolewa na timu gan ktk hilo kombe? Timu zote za epl zilikuwepo ktk carabao zimetolewa na timu zipi?
Wenger effect hiyo!!!
Nyie wazee wa kukata tamaa sijasikia kocha akisema tunapambania nafas ya pili uliona wapi hilo?