Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Alipoondoka Chelsea ndipo alimaliza kazi ya ukocha. Sa ivi amekua kama Eboue tu.
 
Ooosh, just hold on!!!!!!!!

in other words Harry kane scored more goals in 2017 than morata has in his whole career.

Spaniard Yaya Sanogo

"there's no such thing as bad publicity.”..... Naona "Spaniard Yaya Sanogo" amepata "Font ferd" kwenye uzi wa Manaure
 
Imagine calling France bakayoko a player who appeared in FIFA Pro XI and having more trophies than any of your current player.

Hapana! Trophy Ni Teamwork...
Hapa tunazungumzia individual performance...

Katika Criteria ya Trophy Basi Asensio atakuwa Ni Bora Kwa Kipaji Kuliko Pogba na Hazard Kwani Ana Champion league Mbili Kuliko wao.
 
Alipoondoka Chelsea ndipo alimaliza kazi ya ukocha. Sa ivi amekua kama Eboue tu.

Mourinho helped to transform Chelsea into a Premier League powerhouse following his first appointment in 2004.

katimu ka mwaka 2004 hawatamki jose alie ka transform kuwa ka kubwa kidogo hapa kawaweza kweli kwele mourinho mtarurukaruka atawauliza 2004 si mlikuwa sawa na aston villa nyie!!!!!!!
 
Ahsante kwa free promo mkuu, ngoja tuendelee ku "Mind the Gap" kwa Man City ..maana sio kwa spidi hii anayoenda nayo
Pep kaifanya EPL ionekane nyanya, wengine tumebaki kutimuliwa vumbi tu.
 
Hapana! Trophy Ni Teamwork...
Hapa tunazungumzia individual performance...

Katika Criteria ya Trophy Basi Asensio atakuwa Ni Bora Kwa Kipaji Kuliko Pogba na Hazard Kwani Ana Champion league Mbili Kuliko wao.
Kuingia kwenye kikosi bora cha mwaka cha FIFA nacho ni team work? Nikisema ni orodheshe individual award alizopata pogba, huyo Bakayoko itamchukua zaidi ya masaa matatu kumaliza kuzisoma.
 
Ili man cty akutwe msimu huu lazima itokee timu nyingie miongoni mwa timu za top 4aanze kuwadunda wengine wote kama afanyavyo cty

Na ni timu ipi inaweza fanya hivyo? Ile iliyonusurika na kipigo kutoka kwa burnley?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…