MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Hatuwezi kuwashukuru Man united kilio chetu mpigwe tu. Sisi tuna mbinu nyingi za kuingia top four na Man watamaliza nyuma ya arsenal na kocha atakuwa mwingine.Mkuu mshukuru Mou kadroo na hao watoto, wangeshinda wangekushusha hapo uende nafasi ya saba.
Vs Burnley ,tukikutana na arsenal, man city, Liverpool ni kupack basiTimu jana imecheza vzuri n kwa.kasi sana...
Mou nae sijui kala maharage ya wapi,unampangaje ibra na lukaku pamoja,alafu utegemee ushindi
Haki ya Mungu!!!!!! We kiboko!!!!bado naamini ubingwa ni wetu
Ni baada ya kufungwa, angalia timu ikiwa inaongoza hata kwa goli moja utaona wanavyoridhika..Timu jana imecheza vzuri n kwa.kasi sana...
Labda kaamia man ctyHaki ya Mungu!!!!!! We kiboko!!!!
Aseme sasa ijulikaneLabda kaamia man cty
Ataenda kuwaharibu hukoMimi nahisi Mourinho anatafuta Sababu Ya Kutimkia PSG
Kwenye usajili huwa namkumbuka sana yule jamaa alietimkia faAcheni masihara mourinho anapiga kazi apewe tu wachezaj anaowataka Ed aache kuangalia biashara tu aangalie na uwanjani bila iwanjan brand ya man haipo
Timu ipo sawa sana ile ila tunaangushwa tu na utoto mwingi pale mbele na wingsTottenham wamefunga magoli 92 katika Premier League mwaka 2017, City wanaongoza kwa kufunga magoli 101, wanafuatia United waliofunga magoli 95.
Halafu mtu anakwambia mourinho aondoke hizo goli kwa foward yetu ile ya kukosakosa magoli bado tupo tatu bora.