Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakui inafika kipindi kumtetea Mou kunapungua kama hiv...Mou na tactics zake alikuwa bora zamani sio enzi hizi....kuna wadau huko wanasema Ferhie arudi but sio rahisi hii timu angeachiwaga giggs tu wakuu au simeone
Mimi huwa namshangaa sana huyu kocha..

Msimu uliopita ameanza hadi kamaliza hana starting 11..

Msimu huu pia ameendelea vile vile hana starting 11 inayoeleweka licha ya kufanya usajili..

Hivi kweli kocha hadi msimu unamalizika hajajua starting 11 yake?
 
Mkuu yani Mou nae hana lolote anaujanja ujanja tu soka la sahizi limemkataa kabisa kwa mbinu zake
 
Poleni wakuu najua huwa inauma ila bunley sio watu wazuri kabisa
Hiyo nafasi naitaka nyie zubaeni tu
 
Mimi huwa ninashangaa kusema eti waliongezewa kwani walkua wanacheza wenyewe?
Punguza ushabiki uchwara

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app

kweli mkuu, ivi wewe hukuchukia huu wakati?
Sergio Aguero's 95th minute winner gave Manchester City their first ever Premier League title



Mwaka 2012 Man U walifikiri wameshachukua ubingwa wa epl baada ya kuwalaza sunderland 1-0,
Matumaini ya Man city kuchukua ubingwa yalishapotea ila magoli 2 yaliyopatikana injury time yaliweza kuipokonya ubingwa Man U.

Nikweli kabisa, baada ya dakika 90 kuisha na kuingia injury time, Kombe lilisafirishwa na kuandikwa mshindi ambae tayari alikuwa man u. Mau ndio walikuwa washindi mpaka mda huo. Man city akiwa kashapigwa na watu 10 QPR goli 2-1 na alikuwa anahitaji kushinda. Mimi nilikuwa na jezi yangu ya city nimejichimbia kwenye kona naangalia mpira naona aibu kuondoka maana nimevaa jezi na watu walikuwa wanazomea sana. ( nilikuwa nimevaa jezi ya Nasri )


Baada ya Ferguson kupata matokeo ya upande wa pili alionekana kabisa kuumia. alishashangilia ushindi
Wewe unasema ushabiki uchwala ila mm naamini hata wewe uliumia zile injury time za city. na sio wewe tu angalia picha ya pili wachezaji wa Man U wanapata matokeo ya City, angalia walivyopooza.

 
Wewe ni storyteller tu,sijui hata unatakujustify nn au unataka kusiwe na dakika za nyongeza kabsa?
Kila dakika uwanjani inathamani hakuna thamani ndogo wala kubwa na hutakiwi kulilia muda


Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…