CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,675
- 1,060
Wamesawazisha na sio wamefungaHukuona Bunley walivyokuwa wanapoteza muda hadi wawili wakapewa kadi?
Hukuona head injury wachezaji wawili?
Hukuona substitution ngapi zimefanyika?
Btw Man Utd wamefunga dk ya 90.
Ulijuaje? Sikuzote man u akiwa kaelemewa basi wanongeza muda dakika 5 - 7utaona man u wanavyopendelea zisipoongezwa dakika 5 au 7 hapa itakuwa bahati ili mradi tu man warudishe goli
Nakumbushia tu nilichokiandika asubuhi ya Leo....Hapa Mourinho ndiyo anatuonesha Nini?? Kusema ikisha akameza Maneno Yake Ni jambo la kawaida Kwake!!
Makocha Wanapolalamikia injury asiwaone Wajinga na Kujiona Yeye Mwerevu pale Yanapokuwa Hayajamfika.
Leo tupo na Burnley ,Old Trafford. Napata mashaka kutokana na aina ya uchezaji ya Manchester ( Kujihami), kila mechi kwa Manchester united itakuwa ngumu haijalishi ni Old Trafford au Ugenini. Kila timu inajua sisi ni wa kujihami. Sioni mechi nyepesi kwa Manchester united.
Kama kocha hata badilisha aina ya uchezajiz kutoka kulinda zaidi mpaka kuwa team ya kushambulia zaidi, mafanikio ya timu yetu kupatikana yatakuwa magumu sana.
Hivi wewe ni mtabiri Kiongozi..!?nina wasiwasi na hii timu hata top 4 wanaweza wakachomoka,angalia game ya leo kama hamta toka draw sijui
Leteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0
#GGMU#
Hahhahaaa we jamaa umefanya nicheke japo nna hasira na haya matokeo....Piga mbwaaaaaaaaaaa...
Ahahaaaaaaaaaaah...
Chupuchupu...!!!
Ahahaaaaaaaaaaah...
I love this game..!
Kiongozi...Leteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0
#GGMU#
Mimi huwa ninashangaa kusema eti waliongezewa kwani walkua wanacheza wenyewe?Wamesawazisha na sio wamefunga
Vilevile muda wa substitution huwa hauongezwagi kwenye mda wa majeruhi
Dakika 5 waliongeza kuipanafasi kubwa Mau kusawazisha na kushinda game maana walikuwa na moto dakika za mwisho
Kimsingi wachezaji hawajui wanapigania nini so far.Aisee yani acha tu imani na mou inazidi kupotea naona kabisa January ikiisha tukiwa tumetoka pale juu..
Nauliza tena hii timu inaendaga training kweli?? Mara ya ngapi tunafungwa na set pieces mou haoni hili tatizo??
Chief...Pamoja na hali ngumu iliyopo (majeruhi wengi, Mou kubaniwa mkataba, kutoa draw mechi ya ushindi wa wazi last week) lakini Leo Burnley lazima wakae, lazima wapigwe vizuri. All the best MUFC.
Ahahaaaaaaaaaaah...narudia kusema Mou ni kibaka kama vibaka wengine
atuachie timu yetu
Vingi tu hata ushindi kwa MUFCChief...
Ahahaaaaaaaaaaah...
Hivi kitu gani ushawahi tabiri kisha kikatokea..!?
Asee mkuu na unavyowasaka lzm wajute aseeChief...
Ahahaaaaaaaaaaah...
Hivi kitu gani ushawahi tabiri kisha kikatokea..!?