Hii mechi kama atukupata ushindi nitamlaumu sana Mourinho. Tunakamata counter attack nyingi lakini utakuna anakimbia mchezaji mmoja wengine wanarudi nyuma kukaba nafasi