Hio haina tofauti yoyote na ya Arsenal. Shots nyingi harmless ila ukisoma hio chat unaweza kudhani kuna cha maana sana.
Mtu anaweza kuwa na shots on target 10 lakini ni zile tunaita routine saves....mwingine ana shot on target tatu mbili goal kwasababu zote ni matikeo ya clear cut chances rather than hopeful shots.