Top 4? Chifu, niaje timu iliyo nafasi 2 unataka ipambane kwa top 4? Ligi bado hii. City hawezi kucheza hivi mpaka msimu unaisha. Labda kama aamue kuweka nguvu zote kwenye EPL! Bado yupo FA na UCL, kumbuka.Mdudu Nzi pole buana.....Jamani Point 11 ni parefu Tupambaneni na Top 4 tu
They are so Good by miles
Yes, hili ndilo nimelisema pia. José aliogopa hii game. Defense ya City siyo nzuri, uliona ilivyokuwa under pressure ilivyokuwa iki collapse!! José angeanza na ‘gegen’ style. Anyways, United can still revenge at City’s.Mata katumia dakika 5 kumfanga lukaku awe na shorts on target moja binafs naiman kubwa na lukaku kukosa namba 10 kunamfanya aonekane mbaya kwa nn mata akae bench wakat city wenyewe walikuwa waoga?
Mou boya anapaki hata km 0-0
Yes, hili ndilo nimelisema pia. José aliogopa hii game. Defense ya City siyo nzuri, uliona ilivyokuwa under pressure ilivyokuwa iki collapse!! José angeanza na ‘gegen’ style. Anyways, United can still revenge at City’s.
Uchambuzi wako kabla ya game niliuona nikagundua kua huna akili timamuLeo united tulikuwa tunacheza na Ukawa wamefurahi kweli kweli haya mkamateni nyie city sasa
Nyoooowale man city wameshaanza kuchoka..ni suala LA muda tu kuanza kutunguliwa,ukimkamata de bruyner na Silva hawafungi goli hata moja
UnatapatapaNani kamfunga city tuanzie hapo kwanza kabla hujaanza na kocha makini acha mou ajenge timu yake mi ntamponda 2019/2020 aliikuta timu taabani sana
nimeyaonaMkuu matokeo umeyaonaaaa au umesahau uliniambia nije hapa nikukumbushe