that was beyond FABULOUS.... Nani yule??? NANI??? Yes Nani..... BONGE LA GOLI...... Siipendi MANURE but that goal was not only FANTASTIC but also COCASTIC.......................hahahahahahaaaaaa.....

Waache MANU waende zao...Wanatisha! wakiendelea hivi wanaweza kuukwaa ubingwa February 2012 miezi mitatu kabla ya msimu kwisha....That was a classic goal.
Sure mazee... After all sidhani kama ni policy ya AW kushoot.... koz kuna watu walikua wanashoot aibu...lakini kufika Arsenal tu kwishney.... Sijamaliza kuandika la 3.......
Sure mazee... After all sidhani kama ni policy ya AW kushoot.... koz kuna watu walikua wanashoot aibu...lakini kufika Arsenal tu kwishney.... Sijamaliza kuandika la 3.......
that was beyond FABULOUS.... Nani yule??? NANI??? Yes Nani..... BONGE LA GOLI...... Siipendi MANURE but that goal was not only FANTASTIC but also COCASTIC.......................hahahahahahaaaaaa.....
Addition of one msamiati kwa my vocabulary: COCASTIC...hahahahaha! asante Quest...thy was MANDASTIC aiseeee...kama enz zangu nikiwa Lipuli ya Iringa! lmao!

Sure mwanaa...... mnagawa dozi mbaya.... Kwa jinsi mnavyocheza tena with this young Strong team kama mapenzi yangekuwa machoni basi kila mtu angekuwa mashabiki wa Man Utd...... Ni noma... Hongereni sana man.....