Nimepita huko kutoa pole na rambirambi zangu ila ninavyoyajua maua ya humu (sister na everlenk )wakitimba huko itakuwa tabu maana huwa wana double matanga.

Nawatakia mchezo mwema ndugu zangu!
Man City wameisha choka(rejea mechi 3 za mwisho)ni muda muafaka sasa kuwaweka kibra!
Mungu awabariki sana Man U leo
Mshinde!
Nani bado hapa hayaogopi Majogoo