Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wadau muangalieni vizuri Mata leo ndio mtajua kwanini Mou alimtimua Chelsea na hapa atamkrupusha tu maana kaishapata mbadala wake.

Kwa timu makini tungekua tumeishapigwa 2 na zote chanzo ni Mata.

Hayo mambo ya free player anayotaka aende barca akaungane na mbwambwa mwenzie mesi
 
Kuwa na subira mbona akifanya vizuri huwa mnasahau yote hayo. Anyway sijaona kibaya sana alichofanya.
 
kuna umuhimu wa lukaku kuvunjuka mguu asicheze ligi nzima labda atapata akili maana mzigo hatuna pa kuupeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…