Ok hapo nimekuelewa.nafahamu hilo la head to head ila cska akimfunga man u goli nyingi na yeye atakuwa na advantage over man u
man u point 12
basel point 12
moscow point 12
basel akilingana point na cska basel ana advantage
cska akimfunga man u nyingi cska ana advantage
man u ana advantage over basel
hivyo unaona kuna triangle hapo, kati ya hao watatu wote wana advantage kwa mwenzake mmoja. hivyo kikitokea kitu hicho yanaangaliwa magoli.
nafahamu hilo la head to head ila cska akimfunga man u goli nyingi na yeye atakuwa na advantage over man u
man u point 12
basel point 12
moscow point 12
basel akilingana point na cska basel ana advantage
cska akimfunga man u nyingi cska ana advantage
man u ana advantage over basel
hivyo unaona kuna triangle hapo, kati ya hao watatu wote wana advantage kwa mwenzake mmoja. hivyo kikitokea kitu hicho yanaangaliwa magoli.
Inabidi Man Utd afungwe 6-0!
chief linaokuja suala la GD bado Man Uyd yupo mbali......itakuwa muujiza !!!!
Man Utd hata afungwe 3-0 ana uwezekano mkubwa wa kumaliza kinara wa kundi
ndio maana nimesema goli 6 hapo juu,
chief linaokuja suala la GD bado Man Uyd yupo mbali......itakuwa muujiza !!!!
6-0 Ili atolewe kwenye kundiInabidi Man Utd afungwe 6-0!
Basel.ndio maana nimesema goli 6 hapo juu,
cska akishinda goli 6 inamaana
8-6 itakuwa 2 man u watakuwa na GD 2
-1+6 itakuwa 5 hivyo cska watakuwa na GD 5
benfica kivyoyote anatakiwa ashinde hivyo GD yake itakuwa ni 5 kuendelea.
yah my mistake ni basel.Basel.
ndio maana nimesema goli 6 hapo juu,
cska akishinda goli 6 inamaana
8-6 itakuwa 2 man u watakuwa na GD 2
-1+6 itakuwa 5 hivyo cska watakuwa na GD 5
benficabasel kivyoyote anatakiwa ashinde hivyo GD yake itakuwa ni 5 kuendelea.
Wakuu wote mmeelewekaBasel.
hata dawasco wakitaka kukata maji hawatembelei nyumba hadi nyumba na kufunga mabomba, just wanafunga bomba kuu na nyumba zinakosa maji.Bro, think also of Silva, Sane, Sterling Jesus or Aguero. How are gonna stop them?
ni kweli, lakini tatizo ni vifaa vya kufungia hilo bomba kuu.hata dawasco wakitaka kukata maji hawatembelei nyumba hadi nyumba na kufunga mabomba, just wanafunga bomba kuu na nyumba zinakosa maji.
hapo silva na de bruyne ndio wapishi wakubwa, ukikamata hao waliobakia watapata tabu kucheza sababu wao wanataka wapikiwe then wafunge.
huwezi jua, unakumbuka mechi ya trafford vs chelsea mwaka jana? Hazard na herrera?ni kweli, lakini tatizo ni vifaa vya kufungia hilo bomba kuu.
vifaa vyote Mourinho atakuwa amevifungia kwenye basi la double decker afu funguo za milango ya hilo basi hazifanyi kazi hadi baada ya dakika 110!
Hatimaye Lingard ameanza kufanya kile anachotaka Mourinho
mara ya mwisho ni lini united kufungwa OTman u wakifungwa leo kuna uwezekano mkubwa wa kutolewa UEFA
CSKA akishinda le man u anatolewa....hata kwa bao moja tu angalia vizuri msimamo wa kundi lao
C
Mimi Huwa Nawasifu Sana Fans Ambao Wanajua Mpira Kwa Kusimamia Hoja Zao Kuhusu Uwezo Wa Mchezaji au Kocha Fulani...
Na Ninawachukia Sana Wale Timu ikishinda → "Tuna Bonge la Kocha"..
Timu ikifungwa → "Kocha Hafai"...
Mchezaji akifunga → "Talented"...
Mchezaji asipofunga → "Ni mediocre"...
Ningependa Hizi post za delightful za kumuAppreciate Lingard ziendelee till the end... Na isiwe Hii December tu Kwa Michezo 2 au 3...
Yasije Yakawa kama ya Federic Macheda Na Adnan Januzaj...
Nitawakumbusha mtaposahau...
My take: NimekuQuote wewe nikiwa simaanishi wewe Ndiye muhisika Wa Tania Hiyo.
CSKA akishinda le man u anatolewa....hata kwa bao moja tu angalia vizuri msimamo wa kundi lao
C
MICHAEL OLIVER SET TO TAKE CHARGE OF MANCHESTER DERBY
By Jay
Michael Oliver has been named the referee for Manchester United's clash with Manchester City at Old Trafford on Sunday.
The 32-year-old will oversee the encounter between the Premier League's top two sides, with Gary Beswick and Simon Bennett his assistants and Jonathan Moss the fourth official.
Oliver was criticised by United manager Jose Mourinho last season after he sent off Ander Herrera in the FA Cup quarter-final defeat against Chelsea.
He was also frustrated Oliver had awarded penalties against United in three Premier League matches in which they dropped points: in a 3-1 loss to Watford and 1-1 draws away to Everton and at home to Liverpool.
Oliver was in charge of the derby at the Etihad Stadium in 2014, when he sent off Chris Smalling for two yellow cards, and in United's 1-0 win at City in March last year, after which he was criticised for not giving a penalty to the visitors for a Martin Demichelis challenge on Marcus Rashford.