DAVID DE GEA: I FELT UNBEATABLE David De Gea said he felt unbeatable after playing a starring role in Manchester United’s thrilling 3-1 victory over Arsenal on Saturday evening.
Pana swahiba wangu juzi nimempeleka hospital vipimo vyote vinavyopatikana muhimbili kapima ugonjwa haujajulikana lakini ndugu yangu anapukutika tu daktari mmoja ikabidi akae nae na kuanza kuzungumza mambo mbalimbali kama siasa na michezo alipomuuliza ni shabiki wa timu gani na kutaja arsenal hapo nilimuona daktari kabadilika na kusema "tunasumbuka bure siku zote kumbe ugonjwa wako unaujua "
Timu ukiona inamnadi Kumuuza Mchezaji ambaye ana Mkataba Mpaka 2021 bila ya Kutanguliza Kipengele cha "NOT FOR SALE".... Basi mnunuzi unatakiwa ufikirie Mara mbili...!
Wadau wa soka ni wiki nyingine tena kabla hatujashuhudia vita ya mafahali wawili. Mourinho vs Guardiola, man United vs man city. na kama ilivyokuwa kwenye mechi ya arsenal dhidi ya United nikaona tena hamna noma kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka tujuzane matukio mbalimbali ya kabla na baada ya mtanange huo wa kukata na shoka!!!
Wadau wa soka ni wiki nyingine tena kabla hatujashuhudia vita ya ya mafahali wawili. Mourinho vs guardiola, man United vs man city. Nami nikaona isiwe kesi kama tulivyofanya kwenye mechi ya arsenal dhidi ya United nimeona ni vema kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka kama mimi kujuzana matukio yote kabla na baada ya mechi hiyo ya kukata na shoka.karibuni!!