Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Chelsea na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Chelsea kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuwa na makengeza co bure au ujaangalia mpira mkuu!!!Kadi ya pogba ikitizamwa vzr inaweza futwa
Kapewa kadi mtu muhimu sana katika timu..Mkuu kama uliona gemu kabla vile......
Hakika mipira ni hesabu......
He didn't mean to do that...Watakuwa na makengeza co bure au ujaangalia mpira mkuu!!!
Sawa mkuuHe didn't mean to do that...
MKuu lakni uli onya,sema tu labda Mou hayuko JF au haja subscribe uzi huu.......Kapewa kadi mtu muhimu sana katika timu..
Ila ile naona kama refa kakurupuka sana maana lengo la pogba lilikuwa ni mpira, naona kama aliugusa kwanza..
Duh ushabiki maandazi huu,ile kadi halali haina shakaKadi ya pogba ikitizamwa vzr inaweza futwa
sanchez naona unakomalia mafao pole kwa kufungwa na mashetanDuh ushabiki maandazi huu,ile kadi halali haina shaka
Hahahaaaaa hugy....tulia sheikhsanchez naona unakomalia mafao pole kwa kufungwa na mashetan
Naomba asipate mawazo ya kiboya hayoMartial ameshindwa kuzuia hasira na kiburi chake baada ya kupigwa sub.
Mou akileta na kiburi chake dogo anaweza kupgwa bei next season
sababu?Ile kadi planned
bado unaomba tuAdui Muombee Njaa. Mi naomba leo mfungwe magoli mengi yan hata draw kwenu isiwezekane.
Eeeh Mungu Sikiliza Maombi Yangu.
bado hujaona kikosi cha kuichapa aseno eeeehKitambo sijapita hapa. Nimeleta taarifa tu, Kwamba majogoo tushampa mtu [emoji109] na tunapunga upepo pale juu. Niwatakie sare njema maana sijaona kikosi cha kuichapa aseno hapo.