Manchester United (Red Devils) | Special Thread

4 G Itapendeza sana leo
 

Attachments

  • upload_2017-12-2_20-40-10.gif
    42 bytes · Views: 26
Dah beki ya Arsenal leo imetupa maboko ya uhakika Mou anatakiwa kumuingiza Rashford mapema awahenyeshe vizuri
 
Mabeki wanaokoa kizembe mipira ya kona. Wanapiga vichwa mipira inabaki ndani ya eneo la hatari
 
Mabeki wanaokoa kizembe mipira ya kona. Wanapiga vichwa mipira inabaki ndani ya eneo la hatari
Kabisa yaan mabek wakiokoa mipira inaenda kwa adui, ila lingaard anatimiza majukumu yake ndio maana makocha wanampenda.
 
Toa Martial weka Mata...Leo ndio mtaona umuhimu wa Fellaini hapa angekuwepo unamuingiza anakamata wote hawatembei kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…