Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii team Mou akiacha woga lkacheza kwa kushambulia zaidi kuliko kujilinda ingekuwa inapata goal nyingi sana
 
MKuu nakusubirii uje utupe mrejesho wa A.YOUNG na Lingard Mou amewaweka wa nn kwenye hii game.....
maana sahivi ni 33'
 
Inabidi tujifunze kuangalia mpira tactically. Tusiangalie chenga na vitu kama hivyo. Leo Lingars anacheza free role number 10 na kwasababu hii anamfanya Martial awe free.
Ndio sababu Rashford yuko nje hawezi kucheza na Martial mmoja wao anapotea kabisa.
Lingard anacheza by the book kama unapenda chenga na visigino hawezi kukufurahisha.
 
Hopefully Magoli umeyashangilia na naamini sasa utakuwa Umefahamu kwanini Mou anamuanzisha Young.
 
Huyo Young ameshatupia mbili, la kwanza ikiwa ni matokeo ya assist ya Lingard. Mata nadhani kapumzishwa kwa big mechi zijazo.
 
Mpaka HT, Watford nunge Man United 3.
 
Football Einstein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…