Sawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Mkuu samahani kwa kukunukuu,,
Mimi sio mchambuzi wa mpira,, ila hii game ni ngumu sana na Josee analifahamu hilo,,,
Mfumo anaoanza nao ni 3-4-2-1 Young na Valencia wanasimama kwenda na kurudi,, lengo kuu ni kutoa krosi zifanyiwe kazi,, Lingard atakuepo kupambana zaidi ili Juan si mpambanaji as Jesse...
Finally kwa system na falsafa ya Josee Mata hana maisha sana OT.. Na ili aupige hasa, basi wawepo watu kadhaa wa kumpunguzia mzigo.. Even Leo bila uwepo wa kna Sergio,, Maestro Xavi,, Lujan Iniesta,, Pedro,, Henry,, baadae Villa na kna Fab huenda historia ingekua tofauti kidogo...
Hata Pogba wa Juve hajaonekana kwetu,, Mata wa Chel hajaonekana kwetu,, kwa nn?? Timu haina wachezaji wengi wa kiwango cha dunia,,,,....
#GGMU#[emoji255][emoji255][emoji255][emoji255]