HahahaaaHuyu Valencia hichi kitambaa cha ushoga kimelegeza anaanguka ovyo tu.
Ameanza kuwiva.. Nimeona uhuni wake leoLindelof ameanza kuwa na spirit ya man utd
Mpira unaboa sanahivi kwanini mechi za Man utd huwa ndefu ukiziangalia?
Mpi
Mpira unaboa sana
Siyo Manchester United wanaoshabikia. EPL yote, mcheki hata nahodha wa Brighton Hovers kitambaa alichovaa.Nafikiri hii kusuport ushoga inaonyesha imewalegeza wachezaji wengi maana wamelegea ile mbaya
Lakini wa Manchester wamezidi nguvu amna kukimbia ovyoSiyo Manchester United wanaoshabikia. EPL yote, mcheki hata nahodha wa Brighton Hovers kitambaa alichovaa.
kivipi tenaman mmesha nichania mkeka...aaah