Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Chifu, hata mimi sielewi washabiki hawa wanataka nini!!! Sielewi wanapaniki kwa sababu gani? Yes, United wasted a lot of chances in the 1st half, of which the team played real well! Ingawa siyo mpenzi mkubwa wa José, lakini I have to acknowledge his intelligence and reading of the games. Tupo karibu na Disemba, mwezi ambao games zinakuja kwa kasi ya maji na zimerundikana balaa. Kocha usipokuwa smart unaweza kuingia Disemba na timu pungufu.Ongeeni mpaka mchoke,ila ukweli mchungu ni kuwa tumeshafuzu.Angalia sheria za UEFA zinasema nini endapo timu zikilingana?
Tufanye tufungwe mechi ya mwisho,kitakachofata ni kuangalia head to head.Icho kipengele tu,tunamtoa Basel...tulimpiga 3-0,yeye katupiga 1-0.
Alafu mbona mnaongea sana kama vile kuna maajabu Leo.
Mourinho aliweka timu ya kawaida sana leo,japo hakutegemea kufungwa.
Man u tumesharudi,mziki wa rojo sio wa kitoto.Rojo,Bailly pale kati sioni striker wa kusumbua labda PSG kidoooogo kwa mbali ila sioni forward ya kusumbua ukuta wa man u ukiwa full mziki.Valencia,young,rojo,Bailly bila kumsahau de gea.
Pale kati pogba,Matic
Zlatan kaisharudi,wale nyuki wawili wote waanze Rashford na Martial.
Kwa kweli bado sioni timu ya kututisha endapo full mziki wote utakuepo.
Time will tell
Man u wapinzan wang msiniangushe leo nimebet kwenu ban ila see wa blues mapem tu 16 bora
Rojo kacheza poa sana! Kiujumla United was better than Basel! Nini ile mistake tu, ndiyo ilisababisha goli. Ila statistically, United was better.Eti rojo nae ni mchezaji wa kutegemea?
Timu bora EPL imenyolewa na Timu ndogo......UEFA. Ruta yu wapi?Mie naona Mourinho wakati mwingine anajitakia mwenyewe vipigo.
Unaingiza mingongoti yote inayosubiria kulishwa tu. Zlatan, lukaku, rashford, martial. Then unamtoa mlishaji pogba.
Nyuma kunavuja toka mwanzo umekodoa macho tu. Damian, Blind wote hamna kitu. Thanks to Rojo tungepigwa 3.
Unategemea ushindi kwa bahati ringard?? Badala ya kuingiza wakimbizaji kama Mata??
Felain, matic wote faru tu ukimshika mkia hageuki.
Uza ringard, Uza Damian, Uza blind, Uza mikh. Leta willian na wanariadha wengine wenye mashuti pia.
How unamuanzisha Damian na blind yote mafafa kama sio kutaka Rojo aumie tena???
Wenzio huko wanapiga 3, 4, 5 na ukiwachekea 7. Wewe unasifiwa mingongoti tu - mhxxxxxxx!
Ndo mpira mkuu. Tatizo mnajiamini mnoo na kujidai.....poleni sana.Ni kweli kumtoa pogba ni sawa.
Lakini mlishaji mwingine nani?
Hizi mechi ni za kuonyesha combination inayofaa baada ya mazoezi na sio kufanyia mazoezi hapo. Utafikiri timu haifanyi mazoezi???
Kwani psg kamsindilia mtu huko uliona walivyokua wanatiririka as if finale wkt wameisha fuzu.
Timu ina wachezaji wengi lkn mizigo.
Lingard alikua anarukaruka tu utoto kibao.
Tunaweza kufungwa na TUSITOLEWE kinachoangaliwa ni matokeo baina ya timuMi nawambia CSKA Moscow anaweza pata zali tukafungwa!! Lukaku nae mzigo tu!
Au siyo.....bao moja ni tamu inachangamsha akili kweli kweli.Ongeeni mpaka mchoke,ila ukweli mchungu ni kuwa tumeshafuzu.Angalia sheria za UEFA zinasema nini endapo timu zikilingana?
Tufanye tufungwe mechi ya mwisho,kitakachofata ni kuangalia head to head.Icho kipengele tu,tunamtoa Basel...tulimpiga 3-0,yeye katupiga 1-0.
Alafu mbona mnaongea sana kama vile kuna maajabu Leo.
Mourinho aliweka timu ya kawaida sana leo,japo hakutegemea kufungwa.
Man u tumesharudi,mziki wa rojo sio wa kitoto.Rojo,Bailly pale kati sioni striker wa kusumbua labda PSG kidoooogo kwa mbali ila sioni forward ya kusumbua ukuta wa man u ukiwa full mziki.Valencia,young,rojo,Bailly bila kumsahau de gea.
Pale kati pogba,Matic
Zlatan kaisharudi,wale nyuki wawili wote waanze Rashford na Martial.
Kwa kweli bado sioni timu ya kututisha endapo full mziki wote utakuepo.
Time will tell
Angalia sheria za UEFA zinasema nini endapo timu zikilingana?
Tufanye tufungwe mechi ya mwisho, kitakachofata ni kuangalia head to head. Icho kipengele tu, tunamtoa Basel... tulimpiga 3-0,yeye katupiga 1-0.
Tumia akili wewe acha kukariri....hivi umeelewa kipengele a na b au unababwaja tu.Head-to-Head for What?
Rules za UEFA hivi hapa:
Article 17 Equality of points – group stage 17.01 If two or more teams are equal on points on completion of the group matches, the following criteria are applied in the order given to determine their rankings:
a.) higher number of points obtained in the group matches played among the
teams in question;
b.) superior goal difference from the group matches played among the teams in question;
c.) higher number of goals scored in the group matches played among the teams
in question;
d.) higher number of goals scored away from home in the group matches played among the teams in question;
e.) if, after having applied criteria a) to d), teams still have an equal ranking,
criteria a) to d) are reapplied exclusively to the matches between the teams in question to determine their final rankings. If this procedure does not lead to a
decision, criteria f) to l) apply;
f.) superior goal difference in all group matches;
g.) higher number of goals scored in all group matches;
h.) higher number of away goals scored in all group matches;
i.) higher number of wins in all group matches;
j.) higher number of away wins in all group matches;
k.) lower disciplinary points total based only on yellow and red cards received in
all group matches (red card = 3 points, yellow card = 1 point, expulsion for
two yellow cards in one match = 3 points)
So, Kuwa na Uhakika na Unachokiongoe! Sheria Hazidanganyi.
Tumia akili wewe acha kukariri....hivi umeelewa kipengele a na b au unababwaja tu.
Rudi shule kasome tena,sio unashabikia timu miaka 100 no kombe...mamaeeee