Numbisa!
Hakuna namna tuwasiliane na Mourinho aachane na Bale??
Maana hana tofauti na mabasi yetu hapa ya udati, mvua ikitimba yanageuka konokono.
Longtime kitambo kwema lakini karibu jamviniHabarini wakuu,hongereni kwa kulisongesha jamvini hapa,so far so good tukaze mwendo tu .
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG].
Hatimaye umeonekana...karibu sana!!Habarini wakuu,hongereni kwa kulisongesha jamvini hapa,so far so good tukaze mwendo tu .
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG].
Sijaelewa kumzuia kivipi yani.Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Andy Cole amietaka klabu yake ya zamani kumzuia mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, huku akidai kwamba Marcus Rashford ana uwezo mkubwa wa kuimarika zaidi. (ESPN)
Sijaelewa kumzuia kivipi yani.
Sanchez vp mbona hawamzungumzii??au ndio wenga roho inamuuma sana?kama vp walete jembe lile.