Heshima kwako..
Umenena vyema..approach ya Jose katika big games huwa inawafanya washambuliaji wanaonekana butu.
Marachache sana utakuta Jose a natumia mbinu ya kujilinda katika mechi za kawaida, na hapa utawaona washambuliaje wanang'aa.
Na asikwambie mtu, kama umeshawahi kucheza football..Wewe ukiwa mshambuliaje halafu timu inajilinda sana..kwanza utawahi kuchoka itakubidi na wewe kwa wakati fulani urudi nyuma kuchukua/kutafuta Mpira.Sasa kama mara ya kwanza mtu anakutazama uwanjani anaweza kuhoji huyu forward mzigo ametoka wapi...?
Mimi naamini kiasi fulani kikosi chetu kipo vyema, japo majeruhi yanatuandama mara kwa mara..Jose mourinho apunguze uwoga sana katika big games, unapoweka young,smalling ,Jones,Eric,Antonio hii ni sawa na umeweka beki tano nyuma ambao moja kwa moja ni mfumo wa kujihami.
Pamoja sana...GGMU