Chelsea walichezesha viungo 3(Kante,Cesc,Bakayoko) kwa mara ya kwanza na kuuwa winga ndio maana Pedro/Willian hawakuanza while United walichezesha 2 (Matic,Herrera) so automatically iliwapa advantage.Bakayoko ameonekana anapanda sababu Kante alifanya kazi kubwa otherwise ni mchezaji wa kawaida na jana sikuona special alichofanya zaidi ya kukosa magoli ya wazi sidhani kama kuna mechi nyingine ambayo amewahi kuonekana anapanda.

Conte alikuwa fundi against Mourinho last season aliposhinda 4-0 but sio jana
 


Mkuu bangi za chooni tena...?
 
Jana tena Conte kadhihirisha ufundi wake Dhidi ya Mou kataa ukubuli huo ndio ukweli
 
Timu imefungwa nyumbani na Crystal Palace tunaenda kucheza nayo mpira wa hofu si maajabu haya

Tuna kocha mwepesi sana, kama ukitaka kujua angalia hata michezo tuliyoshinda tumeshinda vipi..

Ngoja tumsubiri Pogba labda ndio tatizo!
Leo mtamsema pogba kwa sababu yupo injured. Time will tell
 
Mpira ni ushidi bwana hayo mengine ya kujaza viungo ni mbinu kwann morhinho hakujaza viungo na akuna kitu kibaya kama kupigwa bao moja.......!!!!
 
MAN UTD WANAMTAKA DONNARUMMA KUMRITHI DE GEA


Jose Mourinho amekuwa akiwasiliana na Gianluigi Donnarumma akimtaka kipa huyo wa AC Milan kuchukua nafasi ya David de Gea Manchester United, kwa mujibu wa Don Balon .
Imeripotiwa kuwa De Gea anataka kuondoka Old Trafford msimu ujao wa majira ya joto baada ya kuitumikia United miaka saba, na PSG wanapewa nafasi kubwa kumsajili Muhispania huyo aliyeko kwenye rada za Real Madrid.
 
SHAW MBIONI KUONDOKA UNITED


Manchester United wapo mbioni kumtoa Luke Shaw kwa mkopo dirisha la uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa The Sun .
 
Ile midfield ni solid kuliko ignous rock *****.... Uwezo wa kante unakusanya vile vifaranga vyote vile vi kina helana, mikhtamariam, lingard... Vyoote na bado hawaiwez kufua dafu pale..... *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…