lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Nov 5, 2017 #79,141 Mick sijui amekuwaje
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,119 Nov 5, 2017 #79,142 Haya sasa kimenuka
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,924 Reaction score 27,165 Nov 5, 2017 #79,143 Mi nataka tuwabadili jina leo. Kutoka kwenye ushetani tuwavute mje kwanye umalaika. Mourinho kawaharibia timu kubalini kataeni
Mi nataka tuwabadili jina leo. Kutoka kwenye ushetani tuwavute mje kwanye umalaika. Mourinho kawaharibia timu kubalini kataeni
Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 Nov 5, 2017 #79,144 Tukisema hatuna timu watu wanasema hatujui mpira na si mashabiki wa Man utd.....but as time goes on ukweli utadhihirika. Kukubali maradhi ndiyo mwanzo wa kupona.
Tukisema hatuna timu watu wanasema hatujui mpira na si mashabiki wa Man utd.....but as time goes on ukweli utadhihirika. Kukubali maradhi ndiyo mwanzo wa kupona.
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,119 Nov 5, 2017 #79,145 Mikh na Jones out, Fella na Martial in
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Nov 5, 2017 #79,146 Nakapanya said: Tukisema hatuna timu watu wanasema hatujui mpira na si mashabiki wa Man utd.....but as time goes on ukweli utadhihirika. Kukubali maradhi ndiyo mwanzo wa kupona. Click to expand... Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga
Nakapanya said: Tukisema hatuna timu watu wanasema hatujui mpira na si mashabiki wa Man utd.....but as time goes on ukweli utadhihirika. Kukubali maradhi ndiyo mwanzo wa kupona. Click to expand... Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,509 Nov 5, 2017 #79,147 game droo hii
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,426 Reaction score 1,589 Nov 5, 2017 #79,148 lukesam said: Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga Click to expand... Micki style ya co kukaba km lingard utampa lawama ya bure
lukesam said: Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga Click to expand... Micki style ya co kukaba km lingard utampa lawama ya bure
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,008 Nov 5, 2017 #79,149 Wachezaji wetu wanakuwa soft sana
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Nov 5, 2017 #79,150 15 mins to go ....... come on Utd GGMU
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Nov 5, 2017 #79,151 Yodoki II said: Wachezaji wetu wanakuwa soft sana Click to expand... Hawana ari ya kipigania ushindi
middle east JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 1,309 Reaction score 1,693 Nov 5, 2017 #79,152 Lingard hii mechi ilibdi aanze nashangaa ndo anataka kuingia saivi ...unajua mashabiki wengi wa man utd hawampendi lingard lakin hawajui umuhimu wake .....he is free role ....japokuwa hana nguvu lakin kanakaba pote
Lingard hii mechi ilibdi aanze nashangaa ndo anataka kuingia saivi ...unajua mashabiki wengi wa man utd hawampendi lingard lakin hawajui umuhimu wake .....he is free role ....japokuwa hana nguvu lakin kanakaba pote
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Nov 5, 2017 #79,153 kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,227 Reaction score 68,242 Nov 5, 2017 #79,154 Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Nov 5, 2017 #79,155 lukesam said: Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga Click to expand... pale no.10 hamna mkhi kwisha habar yake kupata mchezaj kariba ya rooney tutasota sana
lukesam said: Hivi ni timu au kocha? Mick hayupo vizuri anampanga Click to expand... pale no.10 hamna mkhi kwisha habar yake kupata mchezaj kariba ya rooney tutasota sana
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Nov 5, 2017 #79,156 Mussolin5 said: Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau Click to expand... mi mwenyewe nshakata tamaa kitendo cha kuruhusu kufungwa na timu mbovu bado tunahitaj kuijenga timu ubingwa hamna
Mussolin5 said: Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau Click to expand... mi mwenyewe nshakata tamaa kitendo cha kuruhusu kufungwa na timu mbovu bado tunahitaj kuijenga timu ubingwa hamna
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Nov 5, 2017 #79,157 Mussolin5 said: Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau Click to expand... Tunayekimbizana nae ni moto wa gas mkuu.. Tuna timu nzuri ila kocha sijui mipango yake
Mussolin5 said: Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau Click to expand... Tunayekimbizana nae ni moto wa gas mkuu.. Tuna timu nzuri ila kocha sijui mipango yake
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,119 Nov 5, 2017 #79,158 Dah basi tena, tumenyang'anywa 3 points hivi hivi
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Nov 5, 2017 #79,159 radika said: kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli Click to expand... Acha zarau
radika said: kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli Click to expand... Acha zarau
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,799 Reaction score 129,636 Nov 5, 2017 #79,160 Leo ndio tumecheza hovyo kuliko siku zote msimu huu