Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ilikuwa second leg semi final ya UCL mwaka 2008. Paul Scholes aliwatundika hako kamoja kwa mkwaju mkali sana. First leg nakumbuka Christian Ronaldo alikosa penati.
 
Wakuu au mm niliona vibaya maana naona alivyotoka mikh kidogo mashambuliz yalipoa ka Jesse kalikuwa kana zunguka zunguka tu pale kati sikuona alicho fanya.... Yule dogo Ni wakati Wa kuuzwa akachezee Everton, west ham, Swansea ndo level zake...
 

Afadhali tunakubaliana mambo mengi ila naona uwasilishaji ni tofauti.....mie ninachosema formation na game plan zinabadilika kutokana na mpinzani. Ibra alicheza alivyocheza kutokana Mou alikua yupo kwenye kuimarisha defence zaidi kwa msimu uliopita Ibra alikua anaambiwa acheze hivyo na kama ukiangalia stats utaona kwamba Ibra alikuwa analishwa zaidi katika kila strike zake saba,Ibra anafunga anafunga goli moja kwahiyo chance 6 zimepotea.

Pia Lukaku anafuata masharti yake ila Lukaku kama Lukaku inatakiwa haimprove game yake ukilinganisha na timu anayochezea na pia umri wake inatakiwa awe tishio, Kuhusu game kubwa sijakataa jana amecheze vizuri ila ingawa angefanya mengi, unaposema champions league mie nataka afunge goli tano tu hii hatua ya last 16.

Watu wengi online naona sio kama wanamchukia Lukaku ila wanamfananisha na previous strikers na pia umri wake inatakiwa awe kwenye peak sio potential striker. Hatuwezi fananisha Suarez,Lendowski,Ibra na Lukaku hao wamefanya makubwa sana kwa Club na nchi zao.
 
Wetoka zako yakwenu yamekushinda unaleta umbea uku kwa wanaume
 


Manure's Heaviest Defeats: ↓↓

Liverpool 7–1 Manchester United
12 October 1895

Liverpool 7 - 4 Manchester United
October 25, 1908

Liverpool 5 - 0 Manchester United
September 19, 1925

Liverpool 4 - 0 Manchester United
September 16, 1990

Newcastle 5 - 0 Manchester United
October 20, 1996

Southampton 6 - 3 Manchester United
October 26, 1996

Chelsea 5 - 0 Manchester United
October 3, 1999

Manchester United 1 - 4 Liverpool
March 14, 2009

Manchester United 1 - 6 Manchester City
October 23, 2011


inabidi apimwe mavi kabisa na sio mkojo

↑↑↑
Sikulaumu! Nasikia Uliwahi Kuugua Bawasili.. Lazima scar yake itakuwa inakuletea Hisia Flani hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…