Game ya leo back four ilikua kazini, Young leo kajitoa sana, ila Lukaku inabidi ajiongeze kidogo ndio hatuna mid nzuri kwa sasa ila leo alikuwa mzito sana.
Game ya leo back four ilikua kazini, Young leo kajitoa sana, ila Lukaku inabidi ajiongeze kidogo ndio hatuna mid nzuri kwa sasa ila leo alikuwa mzito sana.
Young anaweza kuitwa timu ya taifa sasa, kiwango alichoonyesha ni kizuri sana. Pamoja na kutoonekana sana, Lukaku kafanya mambo matatu ya kumkumbuka Leo
1. Goli limetoka kwake (assist)
2. Kipa kaokoa mpira shuti lake
3. Amegonga mwamba ( mpira wa kichwa ulishamshinda kipa wa Spurs).
Ni kama ilivyo kwa maiti ya kiswahili huwa haikosekani sababu utasikia "yule bibi mwenye macho mekundu kesha fanya yake "almuhimu tatu kibindoni tunasonga maana vinginevyo gape lingekuwa kubwa sana na majirani zetu. Palikuwa hakuna namna ya kuzichukua pwenti hizi ila kwa mtindo huu wa sucker punch.