Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu sisi hatulalamikii kila picha ila tunalalamikia picha anazorudia rudia kila mara ambazo hazina umuhimu wowote zaidi ya kuona tu wachezaji na hata kama ana malengo yake binafsi ya kupata anachojua yeye ajue tu kuna watu wengine wanalalamika ili apunguze na kuna watu wengi wanakereka ila wameshaongea hadi wakachoka nikiwemo mm.
 
Umeongea point mkuu
Mimi nishamweka IGNORE LIST yule mtu baada ya kuelekezwa now siyaoni mapicha yake na sitegemei kumuongelea tena
 
Umeongea point mkuu
Mimi nishamweka IGNORE LIST yule mtu baada ya kuelekezwa now siyaoni mapicha yake na sitegemei kumuongelea tena
Jamaa kuna anachokitafuta sio bure haiwezekani watu wapige kelele kiasi hicho ila bado yupo tu analeta hizo pichapicha zake humu sisi humu hatuhitaji kila picha ila tunahitaji picha muhimu tu najua anaelewa tunavyosema hivyo ila bado haelewi
 
Huu mchezo wa leo hapana, sitarajii kuuangalia kabisa, nitakuja kuangalia matokea baada ya dk 90
 
Waaelimishe na leo watakiona cha mtema kuni. Nitabandika mipicha hadi waelewe mini maana ya public site.
 
Leo ni leo msema kesho mwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…