Nakapanya Belo ni lazima mtambue hili ni jukwaa huru, na yeye ana uhuru wa kutuma anachoona kinafaa bila kuvunja sheria!! so far kwa mwaka huu sijaona member ambaye ni active kama ruta anayepost picha humu na hata kipindi ligi haijaanza yeye ndiye amekua akiweka huu uzi active!!
Unaposema wewe hupendi jua wenzako tunazipenda! Tuache kuingilia uhuru wa watu humu jukwaani as long as hamna anayevunja sheria!!