Naona leo ule umoja wa wale wasio mashabiki wa MUFC wamehamia humu kabisa.. 😀😀😀😀MUFC ndio timu yenye washabiki, timu nyingine zinashabikiwa na wenye chuki na MUFC!
Me nahisi injury pia ni kikwazo maana tumemkosa mtu creative kama POGBA pia yuledogo LINDELOF bado sana..ilipaswa Anatoka JONES anaingia BAILLY..lkn baada ya dogo kuingia tukapigwa viwili vya fasta thru him!!! Anyway we will strike again GGMU! GGMU!!