Mkuu Ukweli Ni Kwamba Washabiki Wengi Wa Chelsea Walikuwa ni Washabiki Wa Arsenal Walihama Mwaka 2005 Wakahamia Chelsea Kumfata Mourinho Wakivutiwa Na Drogba Kwa Wakati Huo...
Kwahiyo Hao Washabiki Wa Chelsea Ni Watu Wasiojua Mpira Na Ndiyomana Wanahisi Chelsea Ndiyo Timu Pekee Wanayoona Ndiyo Timu Ngumu EPL...
Hao Njia Yao Ya Kuwazima ni Moja tu!!!!
Wakijisifu Kuwa Chelsea Ndiyo Kigezo cha Timu Bira EPL waulize hivi "UNAKUMBUKA MARA YA MWISHO KUMFUNGA LIVERPOOL EPL NI MWAKA GANI?"
Uone kama atakuquote tena..
Mimi mwenyewe jamaaa kanitisha kwa maneno yake hayo.Tunatishana Mkuu[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Chelsea without Kante.....√√√[HASHTAG]#Pray4Chelsea[/HASHTAG]
Mdogo mdogo kakaPoor performance but job done
Performance hii na ile ya juzi na Liver ipi Bora boss....√√√Poor performance but job done
0-1Matokeo vipi?
Hahaha ushindi wa jana umekupa kiburi sana. Hongera! Iyo man u unayoiyogopa kwetu ni timu ndogo mnoo.Mimi Timu Ninayoiyogopa Zaidi Ndani ya EPL ni Man U... Kinyume Chake Man U Ndani ya EPL timu wanayoiyogopa Zaidi ni Liverpool..
Lakini wewe Ulioanza Kuangalia Mpira 2013 unachokijua Ni Kwamba Man U wanaiogopa Chelsea, Man City na Spurs..
Haha acha kajikuta unajua sana mpira wewe ..una uhakika gani kama fans wa Chelsea walitokea arsenal? Wee vip? Wewe kwenye mpira unachokijua ni historia tu. Huna tofauti na akina shafi dauda. .Chelsea nmekuja nayo kabla hata ya mourinho. .usitake tupelekane kwenye historia mkuu.Mkuu Ukweli Ni Kwamba Washabiki Wengi Wa Chelsea Walikuwa ni Washabiki Wa Arsenal Walihama Mwaka 2005 Wakahamia Chelsea Kumfata Mourinho Wakivutiwa Na Drogba Kwa Wakati Huo...
Kwahiyo Hao Washabiki Wa Chelsea Ni Watu Wasiojua Mpira Na Ndiyomana Wanahisi Chelsea Ndiyo Timu Pekee Wanayoona Ndiyo Timu Ngumu EPL...
Hao Njia Yao Ya Kuwazima ni Moja tu!!!!
Wakijisifu Kuwa Chelsea Ndiyo Kigezo cha Timu Bora EPL waulize hivi "UNAKUMBUKA MARA YA MWISHO KUMFUNGA LIVERPOOL EPL NI MWAKA GANI?"
Uone kama atakuquote tena..
Umeme...Na mm nashangaa
Nani kawaroga leo haupo kabisa jukwaani...
Umeme umefanyaje...?Umeme...