Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Kumbe nawewe umekuwa shabiki wa Man UtdLeo nimegundua kuwa timu yetu Man Utd inatamba kwenye mechi na vitimu vidogo tuu.Tukikutana na Man City au CHELSEA lazima tupigwe.
Km anavitambia vitimu dhaifu au vidogo, bhasi so dhaifu wala mdogoLeo nimegundua kuwa timu yetu Man Utd inatamba kwenye mechi na vitimu vidogo tuu.Tukikutana na Man City au CHELSEA lazima tupigwe.
Kwa mpira mnaocheza leo jamaa yuko sahihi. Hamjacheza na Tottenham, Man City, Chelsea na Arsenal. So uwe mpole tu.Kumbe nawewe umekuwa shabiki wa Man Utd