Pokea like ila kwenye huu uzi ni bingwa wa mipasho lakini michango ziro hii ni pamoja na huyo unayemshabikia.
Kwenye uzi kila mmoja ana michango yake na si kila michango hupendeza kila mtu.
Kumezea ni busara pevu. Posts zangu humu hazitaathirika na madongo ya yeyote yule.
Upepete ila mimi kila siku humu ni kupost nitakacho. Kama ni idadi ya posts au likes sihitaji kuwemo humo ziko nyuzi stahiki kwa hayo.
Put up or simply shut up!