Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hata mimi naona hivyonarudia tena liva akizubaa tu anakula nne kavu
Naiona hattrick kutoka kwa Martialnarudia tena liva akizubaa tu anakula nne kavu

Hapo kasoro milliner na can nahisi ndo hawajapolita SOTONSouthampton Fc 2010
1.Mignolet
2.Clyne
3.Lovren
4.Milner
5.Lallana
6.Keita
7.Can
8.Mane
9.Lambert
10.Oxlaide-Chamberlain
Liverpool Fc 2017
1.Mignolet
2.Clyne
3.Lovren
4.Milner
5.Lallana
6.Keita
7.Can
8.Mane
9.Lambert
10.Oxlade-Chamberlain
2010 Southampton IS 2017 Liverpool FC
Mkuu umemsahau CoutinhoKwa kuwa mane kaumia,ni matarajio yangu hatokuwepo uwanjani,nachokiona ni Mourinho kumuweka kiungo mmoja wa kutembea na kivuli cha Salah...tatu bila kiulainiiii tunawanyuka.