Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,659
arsenal hii tunayoijua itoe £170..aisee itabeba hata uefa..Mkuu hiyo ndogo aweke tu mezani
£ 170 kama ana niya kweli.![]()
![]()
arsenal hii tunayoijua itoe £170..aisee itabeba hata uefa..Mkuu hiyo ndogo aweke tu mezani
£ 170 kama ana niya kweli.![]()
![]()
Martinez kocha wa ajabu sana. Belgium imeshafuzu WC anawachezesha watu kama Fellaini wa nini? Utafikiri hajawahi kuwa EPL club manager!
Unaweza sikia anamchezesha na lukaku piaNi jambo la kushangaza sana, Fella akufanya mazoezi kwa siku mbili badala ya kumlinda akamchezesha tena.
Sasa hivi tumebakiwa na viungo watatu, Matic, Herrera na McTomminay.

Unaweza sikia anamchezesha na lukaku pia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu kocha ana mapenzi na liver ndo watakuwa wamemtuma afanye mambo.Uyu Martinez katumwa kabisa, mechi yenyewe haikua na umuhimu wowote zaidi ya kukamilisha ratiba.
Mkuu ondoa shaka, Fundi Ander Herrera yupo, Liverpool kifo chao kipo pale paleMartinez kocha wa ajabu sana. Belgium imeshafuzu WC anawachezesha watu kama Fellaini wa nini? Utafikiri hajawahi kuwa EPL club manager!
Mkuu wanacheza nafasi tofautiHivi Antonio Martial hana umuhimu kwa france kuliko Giroud maajabu haya
Yule mtoto wetu aliyekimbilia Valencia kwa mkopo Andres Perreira huu ulikuwa wakati wake pia. Hakutaka tu kumsikiliza Jose ...Ni jambo la kushangaza sana, Fella akufanya mazoezi kwa siku mbili badala ya kumlinda akamchezesha tena.
Sasa hivi tumebakiwa na viungo watatu, Matic, Herrera na McTomminay.
Ya Chunya tu hayoHuyu wenger kala maharage ya wapi?
GOSSIP
![]()
The French winger has been electric when picked for United this season (Picture: Getty)
Arsene Wenger has identified Manchester United star Anthony Martial as the player he wants to replace Alexis Sanchez at Arsenal, according to reports.
The Chilean is out of contract next summer and refusing to sign a deal, with the Gunners now increasingly resigned to losing him for nothing and preparing for his likely exit.
And, according to The Sunday Mirror, Wenger is already plotting a move for Martial and is confident he can secure his services, despite United being adamant he will not leave.
Tutawagonga matano bila jibuTafadhalini sana wapenzi wa liverpool (jahazi asilia) munaopenda kufuatilia thread hii msijifanye mumesahau ya kwamba wiki ijayo munakuta na huyu shetani. nimepata ubuyu ya kwamba munataka mechi isogezwe mbele hadi mgogoro wa cataluna utakapokwisha haliyakuwa mgogoro hautuhusu.
![]()
Aweke mzigo tu mezani £127M
Amuache basi asimchezeshe huyu kocha anakamia kweli na huku kashafuzu tayariRoberto Martinez: Romelu Lukaku has changed since Man Utd transfer
squawka.com
Roberto Martinez signed Romelu Lukaku when he was in charge at Everton, but now sees a completely transformed player following his transfer to Manchester United.
The current Belgium boss believes that the striker, who has hit the ground running under new manager Jose Mourinho, has fully matured into a superstar striker following his big-money move to Old Trafford.


♂️
january anarudi huyoYule mtoto wetu aliyekimbilia Valencia kwa mkopo Andres Perreira huu ulikuwa wakati wake pia. Hakutaka tu kumsikiliza Jose ...
Yule mtoto wetu aliyekimbilia Valencia kwa mkopo Andres Perreira huu ulikuwa wakati wake pia. Hakutaka tu kumsikiliza Jose ...