afadhali babu fergie hakumnunuaHazard kinachomponzaga hajawahi kuwa kwenye kiwango bora misimu mi 3 au mi 4 mfululizo anapanda na kushuka mfano msimu ulioisha alikuwa vizur sana lakin wa nyuma yake hovyo mourinho alipochukua ubingwa alikuwa fom pia ndo mana anashindwa kuingia top 3 kupambana na kina mess anamuacha neymar tu msimu huu namuona kaanza kuzingua na akizingua.
Yaah watu husahau hilo pana mtu aliandika kwa kubeza hapa kuwa hatujacheza na timu kubwa kama Chelsea arsenal na liverpool tukamjibu kuwa basi na burnley na stoke city nazo ni timu kubwa sababu zimewafunga Chelsea na Arsenal hakujibu. Mpaka game iishe ndio unajua matokeo uliyo pata.City alitoa draw na Everton ya 1-1 tena etihadi. Lakini Man U kampa Everton 4.
Mpira hautabiriki kabisa.
Manchester United's next 4 Premier League fixtures:
️ Liverpool FC
️ Huddersfield Town
Tottenham Hotspur
️ Chelsea Football Club
Manchester City's next 4 Premier League fixtures:
Stoke City Football Club
Burnley Football Club
️ West Bromwich Albion
Arsenal
Tukomae sana hapa.
tungewagonga leo tungekuwa kileleni.Alimanunsura tuwagonge sita
Na hapa ni test mojawapo maana hata hiyo ya Spurs home nayo ngumuManchester United's next 4 Premier League fixtures:
️ Liverpool FC
️ Huddersfield Town
Tottenham Hotspur
️ Chelsea Football Club
Manchester City's next 4 Premier League fixtures:
Stoke City Football Club
Burnley Football Club
️ West Bromwich Albion
Arsenal
Tukomae sana hapa.
Izo game tunazoona ni rahisi kwa man city sio rahisi...huenda akajimix kwa kuwa underestimate hao.Manchester United's next 4 Premier League fixtures:
️ Liverpool FC
️ Huddersfield Town
Tottenham Hotspur
️ Chelsea Football Club
Manchester City's next 4 Premier League fixtures:
Stoke City Football Club
Burnley Football Club
️ West Bromwich Albion
Arsenal
Tukomae sana hapa.
Stoke city alitoa dro 2-2 na man u lakini akala 4 kwa Chelsea.City alitoa draw na Everton ya 1-1 tena etihadi. Lakini Man U kampa Everton 4.
Mpira hautabiriki kabisa.
Mkuu wewe unaangaliaga mpira kinyume nin ..Stoke city alimfunga Chelsea ngap..???Yaah watu husahau hilo pana mtu aliandika kwa kubeza hapa kuwa hatujacheza na timu kubwa kama Chelsea arsenal na liverpool tukamjibu kuwa basi na burnley na stoke city nazo ni timu kubwa sababu zimewafunga Chelsea na Arsenal hakujibu. Mpaka game iishe ndio unajua matokeo uliyo pata.
wew mwehu rudia tena kusoma alichokiandika usikurupukeMkuu wewe unaangaliaga mpira kinyume nin ..Stoke city alimfunga Chelsea ngap..???
Unapenda kuwa kileleni sana wewe eeh?tungewagonga leo tungekuwa kileleni.
Mwehu baba ako. ..wew mwehu rudia tena kusoma alichokiandika usikurupuke
aliemtia mama ako ukatoka wew mwehu mwenzieMwehu baba ako. ..
Niambie stoke city amemfunga lini Chelsea?? Au unazungumzia msimu wa mwaka juzi. ..wew mwehu rudia tena kusoma alichokiandika usikurupuke
Huyo Crystal plc sisi mu tumempiga nne wakati mc alimfunga kamoja tu tena kwa mbindeMkuu kma south Anton ulishinda moja na stocke ukalazimishwa draw ..jiandae kisaikolojia kukutana man city.
Mama angu si ndio mama yako au ulijui iloaliemtia mama ako ukatoka wew mwehu mwenzie
Kusoma huwa kazi sana kwao ila kwa kuwa umempa nafasi nyingine asome kisha anaweza kuja na majibu mengine.wew mwehu rudia tena kusoma alichokiandika usikurupuke
Ndio hivyo tuendelee kuwakumbusha taratibu wataelewa tu kuwa tumerudi.Huyo Crystal plc sisi mu tumempiga nne wakati mc alimfunga kamoja tu tena kwa mbinde
City kampiga 5-0 huyo ndio GD advantage yetu ilipopotea.Huyo Crystal plc sisi mu tumempiga nne wakati mc alimfunga kamoja tu tena kwa mbinde