Pana mambo nayafurahia sana Phil Jones kama sio yeye vile katulia anafanya hesabu zake vizuri. Lukaku pana nafasi huwa anakosa mpaka unashangaa pale vipi? ajinoe zaidi katika hilo pana siku tutapata nafasi moja tu. Herera fundi zile pasi mpenyezo alipoingia zimeonekana ana umuhimu mkubwa kwetu khasa kipindi hiki Pogba hayupo. Kiujumla vijana wanatupa furaha.
Kuhusu Phil Jones nafikiri Mourinho ana Medical Team nzuri. Mara nyingine mchezaji anaoneka kuumia mara kwa mara ni kwa sababu ya poor management ya injuries.
Pana mambo nayafurahia sana Phil Jones kama sio yeye vile katulia anafanya hesabu zake vizuri. Lukaku pana nafasi huwa anakosa mpaka unashangaa pale vipi? ajinoe zaidi katika hilo pana siku tutapata nafasi moja tu. Herera fundi zile pasi mpenyezo alipoingia zimeonekana ana umuhimu mkubwa kwetu khasa kipindi hiki Pogba hayupo. Kiujumla vijana wanatupa furaha.
Mi kocha namuona poa tu kwa herreara mechi tulizocheza hazihitaj wataalamu sana sasa kuanzia octoba 14 tegemea kumuona herrera katkat hajawah kunilazaa njaa ktk mechi kubwa
Herrera sio mtu wa back pass mpira ulibadilika sana kalipoingia nafikir tumuache kocha anapotaka magoli amuingize nani kubadili matokeo mwanzo hatukuwa hivyo tukishikwa tumeshikwa kweli.