Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Felaini ashawatuliza madogo, wamejifanya kimbelembele mno
 
Leo kuna tatizo pale nyuma ya Lukaku, Lukaku akiwa kwenye position nzuri hapewi mpira. Tunaweza kuvuka NNE (4G) yetu, kama Makosa hayo yatarekebishwa.
 
Mata ni technician anacheza sio sehemu yake achana nae kabisa mkuu
 
Mkuu mata huyo kakutoa povu
 
Leo kuna tatizo pale nyuma ya Lukaku, Lukaku akiwa kwenye position nzuri hapewi mpira. Tunaweza kuvuka NNE (4G) yetu, kama Makosa hayo yatarekebishwa.
Tatizo Fellain na Matic wote wanacheza km defensive midfielders. Timu inakosa play maker. Hilo ni tatizo toka game ya Saints Mary's.

Mike, Mata na Rash wanapokea mipira ya kugombania isiyokokotolewa ili kum-supply Lukaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…