Hakuna cha ujuaji wala nini ...makocha wote duniani hawapo perfect 100%....ndio sababu hawachukui ubingwa kila msimu.
Kiukweli pamoja na mazuri yake yote,mourinho anazingua kwa Martial...
Mata sio yule tena,hatakiwi kuanza mbele ya Martial au Rashford.
Toka ligi ianze sijaona jipya lolote kutoka kwake,zaidi ya kutucheleweshea ushindi tu.